Wake za watu wamekuwa dili siku hizi, tatizo nini?

Jamani ndoa nyingi zinakuwa zilishakufa kitambo..
Unakuta mume hakupendi,unajaribu kila kitu hola..
Ye yuko bze na michepuka hataki hata kukugusa..
Wengine wanajaribu mchepuko as a comfort asahau kidogo hayo majanga ya ndoa..
 
Wengine wameambukizwa na wenzi wao hivyo na wao wanalipiza. Hilo sio dili bali zali dogo.
 
hawa wangu nawatoa wapi maana full kuchat, kuulizwa kama nampenda na shinda ndogo ndogo nitatue
 
Hawana garama.
Mke wa mtu:
1. Hawezi kuomba kodi ya nyumba maana mume wake ndio analipa.

2. Hawezi kuomba umnunulie gari mume wake atahoji.

3. Hawezi kutaka umnunulie vitu vya garama sijui iphone 6+ au note 5.

4. Hakugandi kama luba,mara text,mara calls sijui ujinga gani.

5. Hawezi kukuuliza maswali ya kijinga jinga kama hivi kweli unanipenda.

6. Hawana usumbufu wa vibomu visivyo na maana.

7. Wanapatikana wanapohitajika na kama kabanwa anatoa reasonable excuses.

8. Hakuulizi utamuoa lini na malalamiko ya kijinga kijinga.

9. Hawana shida kushare mwanaume, yaani hakubani hata kama una mpenzi wako mwingine anakuruhusu uwe nae ili mradi atakapokuhitaji upatikane bila shida.

10. Ukiwa na shida ndogo ndogo anakusaidia kutatua.
Duuuuh!!!! wewe jamaa wewe kudadadekii!!!! we ni noumaaa....umeyajuaje hayo??? God atakuhukumu kubeba mke wa mtu. na wa kwako watamgegeda hivyo hivyo
 
Na hebu tuangalie upande wa pili inakuweje tena vibinti kukimbilia kutoka kimapenzi na mijibaba like Baba zao au Babu zao!
 
Mambo mengine ni ya kijinga sana. Mimi nina live experience. Demu umemuoa kwa harusi na heshima kubwa leo hii hutaki kumsaidia matatizo ya nyumbaij kwao unang'ang'ania ndugu zako lukuki unawasomesha. Mke anakuomba umsaidie matatizo ya msimgi unamuona mjinga wakati yeye ndo anatembea na engine ya ndoa (papuchi) unategemea nini. Demu wangu wa zamani alipata Bwana kafunga ndoa kakata mawasiliano ambalo ni jambo zuri kwa kuepusha kujiingiza kwenye vishawishi vya kijinga. Lakini ameibuka kulingana na jinsi nilivyomjali sana ktk maisha ya kawaida. Mume wale kakataa kumsaidia na hamshirikishi ktk kupanga mambo ya familia. Hela ya mume hajui inatumika vipi. Akipewa saaana hela ya mboga. Na mahitaji muhimu ya nyumbani. Mwisho wa siku mimi ndo nmsaidia kwao. Mara mama anaumwa namtumia hela. Mara mdogo wangu kafukuzwa shule namlipia ila nishaweka kiapo thabiti sitakaa nitembee na mke wa mtu lakini kama mtu mjinga unamkanyagia at will. Na mdada wa watu anadhani akikueleza matatizo ya nyumbani kwake ndo anakufurahisha. Si kila mke anatembea nje ya ndoa kwa kujitakia mwenyewe.
Ukimpenda mke jali na shida zake otherwise acha kusaidia pande zote.
 
Last edited:
Hawana garama.
Mke wa mtu:
1. Hawezi kuomba kodi ya nyumba maana mume wake ndio analipa.

2. Hawezi kuomba umnunulie gari mume wake atahoji.

3. Hawezi kutaka umnunulie vitu vya garama sijui iphone 6+ au note 5.

4. Hakugandi kama luba,mara text,mara calls sijui ujinga gani.

5. Hawezi kukuuliza maswali ya kijinga jinga kama hivi kweli unanipenda.

6. Hawana usumbufu wa vibomu visivyo na maana.

7. Wanapatikana wanapohitajika na kama kabanwa anatoa reasonable excuses.

8. Hakuulizi utamuoa lini na malalamiko ya kijinga kijinga.

9. Hawana shida kushare mwanaume, yaani hakubani hata kama una mpenzi wako mwingine anakuruhusu uwe nae ili mradi atakapokuhitaji upatikane bila shida.

10. Ukiwa na shida ndogo ndogo anakusaidia kutatua.
Umelenga mulemulee..kwakuongezea tuu wanahuruma sana.
 
We jamaa una akili sana....gpa ya ngap vile
 
You are very honest my friend!
 
uzilo weza kulifanya, wenzako watakufanyia.huo ndio mtindo wa kileo aisey.
 
Attachments

  • DSC_0000011.jpg
    DSC_0000011.jpg
    13.8 KB · Views: 47
Hata Mimi yupo mmoja nikiwa naye anajiachia sana lakini roho inasita nilimuuliza hivi wewe unaweza kucheat? akajibu ah mimi siwezi ila ukimtizama usoni unamuona huyuuuu!

Jf Mbona inamuonekano mbaya hivi kulikoni?
 
Back
Top Bottom