Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
21,694
15,992
Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes)

Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili

Kulikuwa na ziwa Tandale😅
Ziwa Mwananyamala😂
Ziwa Magomeni😅

Mto Sinza😅

Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye ndio anaifahamu vyema (joking)

FB_IMG_1705997474985.jpg
FB_IMG_1705997422135.jpg
 
Serikali ina makosa makubwa sana, usiitetee Serikali mkuu.

Tuna mipango miji mibovu kuwahi kutokea. Eneo kama bonde la mto Msimbazi ilitakiwa kuwa kivutio, sehemu ya recreation, ila kilichopo bonde lile kinasikitisha, ni uchafu, ni majengo yamekaribiana na mto, kila kitu kipo hovyo. Bahati mbaya/nzuri watawala wanapenda kusaifiri, wanaona kwa wenzetu kulivyo, ila they care less.
 
Serikali ina makosa makubwa sana, usiitetee serikali mkuu.

Tuna mipango miji mibovu kuwahi kutokea . Eneo kama bonded la mto msimbazi ilitakiwa kuwa kivutio, sehemu ya recreation, ila kilichopo bonde lile kinasikitisha, ni uchafu, ni majengo yamekaribiana na mto, kila kitu kipo hovyo. Bahati mbaya/nzuri watawala wanapenda kusaifiri, wanaona kwa wenzetu kulivyo, ila they care less.
Si lazima kuishi Dar
 
Unaambiwa enzi hizo Dar es salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes)

Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili

kulikuwa na ziwa Tandale😅
ziwa mwananyamala😂
ziwa magomeni😅

mto sinza😅

Dar es salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye ndio anaifahamu vyema (joking)
View attachment 2880306View attachment 2880307
Mengine ni majanga tu, doesn't mean kwamba watu . Wamekaa maeneo ya maji.
Sehemu gani ya Sinza iliyokua ziwa ambayo hivi sasa ni makaazi ya watu? Magomeni ipi iliyokuwa ziwa?
Haya mafuriko ya sasa angalau mtu akiniambia ni matokeo ya watu kujenga bila kujenga miundombinu ya barabara na mifereji, pia nyumba zao kuzungushia ukuta wakati si kila maeneo ya ujenzi wa hizi nyumba za makaazi zinahitaji ukuta. Hata aina ya kuta zinazotakiwa ni zile za mbao na nyaya.
 
Mengine ni majanga tu, dosen't mean kwamba watu . Wamekaa maeneo ya maji. Sehemu gani ya Sinza iliyokua ziwa amnayo hivi sasa ni makaazi ya watu? Magomeni ipi iliyokuwa ziwa?
Haya mafuriko ya sasa angalau mtu akimiambia ni matokeo ya watu kujenga bila kujenha miundombinu ya narabara na mifereji, pia nyumna zao kuzungushia ukuta wakati si kila maeneo ya ujenzi wa hizi nyumba za makaazi zinahitaji ukuta. Ma hata aina ya kuta zinazotakiwa ni zile za mbao na nyaya
miaka 11 mjengoni ila unaandika kama ndege flani kapita
 
Mengine ni majanga tu, doesn't mean kwamba watu . Wamekaa maeneo ya maji.
Sehemu gani ya Sinza iliyokua ziwa ambayo hivi sasa ni makaazi ya watu? Magomeni ipi iliyokuwa ziwa?
Haya mafuriko ya sasa angalau mtu akiniambia ni matokeo ya watu kujenga bila kujenga miundombinu ya barabara na mifereji, pia nyumba zao kuzungushia ukuta wakati si kila maeneo ya ujenzi wa hizi nyumba za makaazi zinahitaji ukuta. Hata aina ya kuta zinazotakiwa ni zile za mbao na nyaya.
Ile mikocheni mzee si bahari kabisa lakini sasa hivi mijengo ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom