Hahahahahaaaaa! Kuna misaada isiyo na masharti? Kuna msemo unasema kuwa Bure ni ghali. Ndo hivyo tena. Wanakupa fedha lakini wanakupa na masharti wanaotaka wao. Jirani zetu wa Malawi walionja joto ya jiwe kwa kutunga sheria kali dhidi ya Mashoga. Wakanyimwa misaada lakini hawakuridi nyuma. Sisi tutakuwa wajinga sana kama tutawanyenyekea kwa jambo hiliTatizo uelewa!! Wchina hawatoi msaada wanawekeza!! Ni wawekezaji kama IPTL. Wale ilikua ni bure tumia uwezavyo, daaa watu wanapongeza kaa msaada!!
Uwekezaji vs msaada...hebu jiongeze kijananyie si mlisema hatukaki msaada, china hapo hatoi msaada???? mara oooh tujitegemee mara hatutaki misaada, sijui nini na nini leo hii inashangaza mnasema china kajipanga!!! huu si umbumbu huu!!
Kuna sehemu umeona msaada hapo?,nyie si mlisema hatukaki msaada, china hapo hatoi msaada???? mara oooh tujitegemee mara hatutaki misaada, sijui nini na nini leo hii inashangaza mnasema china kajipanga!!! huu si umbumbu huu!!
hebu tuoneshe nchi iliyoendelea kwa msaada wa marekani!! kweli watz tumechoka kufikiriAcheni propaganda za kijinga..hakuna nchi duniani imetoka kimaisha kwa kusaidiwa na china!Wao wenyewe wanasali Trump asiingie akapiga marufuku wafanyabiashara wa marekani wasiwekeze china,au anavyosema atapandisha kodi bidhaa za kutoka huko.Haka ka nchi ka Tanzania ni kadogo sana hakawezi kujiendesha kenyewe,kwanza mapato ya bandari yamekwishaanza kushuka baada ya wafanyabiashara wengi kukimbia bandari...hatuna viwanda,hatuna lolote.
China wametumia fursa ya kususa kwa Wamarekani. Wamejenga bomba la gesi watashindwa kuboresha miundombinu ya TANESCO?
Pesa ya marekani ni ya masaada wanaitaji demokrasia tu ambayo tumeshindwa kama TZ ila mchina yeye ana invest kwaiyo ni vitu viwili tofautiLakini ndo waliojenga TAZARA. Wamejenga TAZAMA. Wamejenga bomba la gesi toa Mtwara hadi Kinyerezi Dar es Salaam. Hao wamarekani mnaowakumbatia wamejenga nini zaidi ya kugawa bure chandarua?
China wametumia fursa ya kususa kwa Wamarekani. Wamejenga bomba la gesi watashindwa kuboresha miundombinu ya TANESCO?
WAKATI MAREKANI KUPITIA MCC WAKISUSA, CHINA WAJIPANGA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA NISHATI NCHINI
View attachment 333483
Wawekezaji kutoka katika makampuni yanayojihusisha na uzalishaji wa nishati ya umeme kutoka nchini China, wameeleza nia ya kuwekeza kwenye sekta ya nishati nchini ili iweze kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi.
Waliyasema hayo katika kikao na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Mhandisi Juliana Pallangyo pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na taasisi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)
Akizungumza katika kikao hicho Mwakilishi kutoka Umoja wa Wafanyabiashara katika Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Lin Zhiyong, alisema kuwa nia ya makampuni yanayojishughulisha na uzalishaji wa nishati ya umeme ni kubaini fursa zilizopo katika sekta ya nishati nchini kabla ya kuja kuwekeza rasmi
Aliongeza kuwa ujumbe maalum wa wawekezaji kutoka nchini China unatarajiwa kuwasili nchini mapema wiki ijayo kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali zenye kubainisha fursa za uwekezaji nchini ikiwa ni pamoja na mpango kabambe (master plan), sera, na mpango mkakati katika sekta ya nishati, kabla ya kusaini makubaliano ya awali kwa ajili ya uzalishaji wa nishati ya umeme.
Zhiyong alisisitiza kuwa wawekezaji kutoka China wako tayari kushirikiana na wawekezaji wa ndani ya nchi kwenye uzalishaji wa nishati ya umeme ili taifa liweze kupata nishati ya uhakika kwa ukuaji wa uchumi wa nchi.
Wakati huo huo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia nishati Dk. Mhandisi Juliana Pallangyo alishukuru ujumbe huo na kueleza kuwa fursa za uwekezaji kwenye sekta ya nishati ni nyingi na kuwataka kuchangamkia fursa hizo.
“Wananchi wanahitaji nishati ya uhakika ambayo ni kichocheo cha ukuaji wa uchumi wa nchi, hivyo tunawakaribisha kuwekeza katika uzalishaji wa nishati ya umeme kwa kuwa tuna vyanzo vingi kama vile gesi, jotoardhi, makaa ya mawe, jua, upepo n.k,” alisisitiza Dk. Palangyo.
Chanzo: michuzi
Nchi nyingi za ulaya,uingereza,ufaransa,ujerumani nk baada ya vita ya pili vya dunia zilikuwa hoi kiuchumi.marekani aliwakopesha mabilioni ya dollars kufufua uchumi wao.Mpaka sasaiv bado wanalipa na wanadaiwa.Do your home workhebu tuoneshe nchi iliyoendelea kwa msaada wa marekani!! kweli watz tumechoka kufikiri
Hahahahahaaaaa! Kuna misaada isiyo na masharti? Kuna msemo unasema kuwa Bure ni ghali. Ndo hivyo tena. Wanakupa fedha lakini wanakupa na masharti wanaotaka wao. Jirani zetu wa Malawi walionja joto ya jiwe kwa kutunga sheria kali dhidi ya Mashoga. Wakanyimwa misaada lakini hawakuridi nyuma. Sisi tutakuwa wajinga sana kama tutawanyenyekea kwa jambo hili
Tatizo lako ni uelewa mdogo au ushabiki. Tatizo sio msaada bali ni msaada unaoambatana na masharti magumu ambayo yanatufanya kuonekana kamna watumwa wa watoa misaada.nyie si mlisema hatukaki msaada, china hapo hatoi msaada???? mara oooh tujitegemee mara hatutaki misaada, sijui nini na nini leo hii inashangaza mnasema china kajipanga!!! huu si umbumbu huu!!
Walikopwshwa au walipewa msaada? Elewa tofauti kati ya msaada na mkopo.Nc
Nchi nyingi za ulaya,uingereza,ufaransa,ujerumani nk baada ya vita ya pili vya dunia zilikuwa hoi kiuchumi.marekani aliwakopesha mabilioni ya dollars kufufua uchumi wao.Mpaka sasaiv bado wanalipa na wanadaiwa.Do your home work
ni masharti gani magumu ambayo yalifanya tukose hizo pesa unaweza kuyataja??? alafu useme ugumu wake uko wapi!!?Tatizo lako ni uelewa mdogo au ushabiki. Tatizo sio msaada bali ni msaada unaoambatana na masharti magumu ambayo yanatufanya kuonekana kamna watumwa wa watoa misaada.