Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,846
Mkuu wewe ni genius.Mtu ambae hata mifano yako hai hailewi huyo ana utindio wa akiliWachina wamemsaidia nini Mugabe? Mbona Zimbabwe inadidimia kila uchao? Imekuaje Mugabe kawageuka? Zimbabwe imeharibika kiuchumi vibaya mno mchina yupo tuuu anamfaidi babu ... Vipi Sudan kusini mchina kafanya nini mpaka sasa?