Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,166
- 30,509
Yes...yaani kati ya wazee niliowadharau na ambao hawana faida hapa nchini, wa kwanza anaweza kuwa huyu. hajawahi kuwaza kingine chochote zaidi ya udini na chuki kwa wakristo. ameshazeeka na hana lolote zaidi ya udini. hata wajukuu zake sijui watarithi nini.
Mrangi,Mzee wangu ni mdini sana
Ova
yaani kwamba wewe ni mwandishi bora? dah, mwandishi bora. na wewe unaamini u mwandishi bora?Mrangi,
Hili nimelijibu mara nyingi na naamini jibu unalijua.
Ningekuwa mdini nisingeshirikishwa katika miradi ya uandishi wa historia ya uhuru wa Tanganyika na historia nyingine katika Afrika.
Ningekuwa mdini JF wasingeniadhimisha kwa kuwa Mwandishi Bora mara mbili.
Na mengine mengi.
Yesu...yaani kwamba wewe ni mwandishi bora? dah, mwandishi bora. na wewe unaamini u mwandishi bora?
Mzee wangu,jana sijakuona kwenye msiba wa mzee andanenga,au ulikuwepo sikutupia macho vizuriMrangi,
Hili nimelijibu mara nyingi na naamini jibu unalijua.
Ningekuwa mdini nisingeshirikishwa katika miradi ya uandishi wa historia ya uhuru wa Tanganyika na historia nyingine katika Afrika.
Ningekuwa mdini JF wasingeniadhimisha kwa kuwa Mwandishi Bora mara mbili.
Na mengine mengi.
Ndio dharau zenyewe.Yes...
Umedharau vipi ilhali umeingia kwenye post yangu?