Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,241
- 4,811
Ukitaka kuvuta watu popote paleIbada za pasaka zinaendelea; kwaya mbalimbali zinatumbuiza. Nimeenda kwenye kanisa mojawapo kusali naomba nisilitaje jina.
Waimbaji wananengua na kucheza mithili ya ngoma za kienyeji na kidunia.
Wengine wananengua miuno kabisa.
Sasa huku ni kumsifu Mungu kweli?
Ngoma za mbinguni zinachezwaje tukiachana na hizi za kidunia?
Mfalme Daudi alicheza hadi nguo zake zote zikaanguka, kama watu wanaweza kumsifu shetani hadi wakalala chini huku wanakata mauno sioni vibaya watu wakimsifu Mungu kwa style yoyote ilimradi hizo sifa zinafanyika katika roho na kweliIbada za pasaka zinaendelea; kwaya mbalimbali zinatumbuiza. Nimeenda kwenye kanisa mojawapo kusali naomba nisilitaje jina.
Waimbaji wananengua na kucheza mithili ya ngoma za kienyeji na kidunia.
Wengine wananengua miuno kabisa.
Sasa huku ni kumsifu Mungu kweli?
Ni kweli kabisa,watu wakate mauno kuonyesha utukufu wa mungu. Halafu kuna jingine la wake wengi, kwenye biblia kuna aliyeoa wake wengi hili nalo ni la kuangalia wanaume waoe hata wake 9.Kasome tena bible. Yupo nabii mmoja alicheza mpaka nguo zikamvuka na kubaki kama alivyo zaliwa. Isitoshe mbinguni unakufahamu? Je Kuna utaratibu wote unao kuelekea namna ya kucheza? Mwili ni hekalu la mungu cheza itakavyo.
Ngoma za mbinguni zinachezwaje tukiachana na hizi za kidunia?
Ng'ang'ana mpaka kieleweke....Ibada za pasaka zinaendelea; kwaya mbalimbali zinatumbuiza. Nimeenda kwenye kanisa mojawapo kusali naomba nisilitaje jina.
Waimbaji wananengua na kucheza mithili ya ngoma za kienyeji na kidunia.
Wengine wananengua miuno kabisa.
Sasa huku ni kumsifu Mungu kweli?
Unakata kiuno huku unanena kwa lugha. Inapendeza.Mfalme Daudi alicheza hadi nguo zake zote zikaanguka, kama watu wanaweza kumsifu shetani hadi wakalala chini huku wanakata mauno sioni vibaya watu wakimsifu Mungu kwa style yoyote ilimradi hizo sifa zinafanyika katika roho na kweli
Mungu anaishi katika sifa
Kama wanavyocheza wawili wapendanao juu ya kitanda!Ngoma za mbinguni zinachezwaje tukiachana na hizi za kidunia?
Mfalme Daudi alicheza hadi nguo zake zote zikaanguka, kama watu wanaweza kumsifu shetani hadi wakalala chini huku wanakata mauno sioni vibaya watu wakimsifu Mungu kwa style yoyote ilimradi hizo sifa zinafanyika katika roho na kweli
Mungu anaishi katika sifa
Hili ni fundisho la upotoshi limeingizwa makanisani na freemason lengo ni kuwapotosha watu.Kasome tena bible. Yupo nabii mmoja alicheza mpaka nguo zikamvuka na kubaki kama alivyo zaliwa. Isitoshe mbinguni unakufahamu? Je Kuna utaratibu wote unao kuelekea namna ya kucheza? Mwili ni hekalu la mungu cheza itakavyo.