Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 15,412
- 47,894
Ulipo tupoTeko...
Mpashaji wangu kanieleza:
"Waziri akaniambia inanihitaji tusafiri pamoja twende Ulaya ya Mashariki kuna kozi inafungwa na sisi tumealikwa kwenye ufungaji.
Basi mimi na Waziri wangu tumekwenda.
Nilipata mshtuko mkubwa sana.
Katika kundi lile lililohitimu kozi ile niliwaona jamaa ambao mimi wakiniuzia samaki pale Ferry."
Zamani watu wengi wa Idara walifanya kazi yao kuwa weledi mkubwa pasi na kujulikana. Siku hizi wanakunywa Bia na kuweka zana zao za kazi mezani huku wakijitapa