Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 16,519
- 31,616
Unakua wa SADC kama gari ni mpya inapungua sana kwenye VAT ila kama sio mpya haitatofautiana na Japan ila port charges na taka taka zingine za bandari hazitakuwepo..Sorry kaka nitakuuliza mfano ushuru wa hyo ya 2010 ushuru wake utakuwaje?utakuwa wa SADC au kama tu wa japan?