hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
Mawig nayo ni uteja kama unga
wanatuumiza mafua na hyo mipfyum mwingine anaweza kujipulizia linanuka utadhani dawa ya chooniHa ha ile pafyum inaharufu mbaya inaletakichefuchefu
Naam.Ukute wigi limepigwa jasho la maana. Huwezi msogelea. Ila hii style ya wadada kunyoa inanikosha sanaView attachment 512175View attachment 512176View attachment 512177View attachment 512178View attachment 512179View attachment 512180
wanatuumiza mafua na hyo mipfyum mwingine anaweza kujipulizia linanuka utadhani dawa ya chooni
Sio kweliThubutu tukipita na tatu kichwa zetu mnatuita beki tatu
Wadada wa aina hiyo wanakuwa na miguu miembamba kama miiba ya nungu nungu
Tena ile mirija ya Azam.Au Kama Mirija ya Juice
Umenilazimisha kucheka,Wadada wa aina hiyo wanakuwa na miguu miembamba kama miiba ya nungu nungu
Jamaa hii misemo unaitoa wapi?Au Kama Mirija ya Juice
HeheheMawig nayo ni uteja kama unga
Hahaha mungu anakuona mkuuWadada wa aina hiyo wanakuwa na miguu miembamba kama miiba ya nungu nungu
Mcheki irene kiwia anavyopendeza,Wazungu nao wako tofauti yategemea na asiliWazungu nao wanavaaga mawigi... Wanaongeza nywele (extensions)
Ha ha ha hapo mwishoo umenivunja mbavu!!Hahaha,..i love women,..waacheni wadada woote waje kwangu maana ufalme wangu ni wao i actualy love their hairs(mawig etc) ,lip colors ,bodies,..ooh gosh,,..though,..one ting,..i almost ran away sku1,naingia home na mdada alivotoa ile nywele yake ikabak panki moja matata,..skuamini,is she the1?yan alibadirika saana kama sio yeye na ni admit ham ilipungua kdgo..bt sio wote .