cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,747
- 5,213
Hawa wafu Tena?
Ok waache wafu wazikane huko kaskazin
Hawa wafu Tena?
Ok waache wafu wazikane huko kaskazin
Kuna wale wa kusema sitoki Dar 😀😀😀Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila mengine yanaungana na hawa watu ambao kwa bahati nzuri awajawahi kukataa kwao.
Leo yakitokea madhara kaskani katika sikukuu hii hakuna nchi ambayo mwanachi wake hatoaathirika , hakuna kijiji hapa nchini ambacho kitakosa mwakilishi huko Kaskazini.
Jambo jingine ni kwamba hawa wafu wanapenda kwao bila kujali ngazi ya maendeleo. Mfano Masai pamoja na ujio umaskini wake lakini anajisifu kuzaliwa ngorongoro. Kuna watu wamezaliwa Pwani na wanaishi DAr ila ukiwaambia waende kwao mtagombana.
Wahaya na Wanyakyusa wamesoma na kuelimika lakini umewahi kuwaona wakiungana na familia Mbeya au Kagera? Wakinga wanapesa nyingi, wanamiliki uchumi wa Kariakoo lakini hakuna siku utawasikia wanakwenda Njombe.
Wasukuma ndo kabisa usiseme. Lakini pia tuna waha kutoka Kigoma hata viongozi tu kwenda kwao na kujenga huko hawataki....lakini makabila haya yote yanaungana na wachaga kwenda kaskazini mwisho wa mwaka. Tunahitaji kuwapongeza hawa wenzetu kwa kupenda kwao na kupathamini.
Tunapaswa kujifunza.Mikoa yote na majiji yote hakuna watu isipokuwa Arusha na Kilimanjaro.......huu umoja wao utufunze umuhimu wakishikana.
Mwisho, hawa jamaa ukiangalia magari yanayopeleka misiba kwao ni mengi si kwa sababu wanapenda tu kuzika kwao ila kwa sababu wanaouwezo wakuchangishana wakapata fedha, wana vikundi vyakusaidiana, wanapendana na mwisho wanainuana.
Sisi wengine tumebaki kusema hatutaki ukabila, bila makabila kuna Tanzania?
Kuna ku enjoy nature zaidi ya kua nyumbani?Wenzenu wanaenda serengeti na Zanzibar kuenjoy nature...nyie mnakalia ukabila bado
Mi nimekuja na washkaji zangu wapemba kila siku walikuwa wananisumbua nimekuja nao hilo bata wanalokula hawatasahau.Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila mengine yanaungana na hawa watu ambao kwa bahati nzuri awajawahi kukataa kwao.
Leo yakitokea madhara kaskani katika sikukuu hii hakuna nchi ambayo mwanachi wake hatoaathirika , hakuna kijiji hapa nchini ambacho kitakosa mwakilishi huko Kaskazini.
Jambo jingine ni kwamba hawa wafu wanapenda kwao bila kujali ngazi ya maendeleo. Mfano Masai pamoja na ujio umaskini wake lakini anajisifu kuzaliwa ngorongoro. Kuna watu wamezaliwa Pwani na wanaishi DAr ila ukiwaambia waende kwao mtagombana.
Wahaya na Wanyakyusa wamesoma na kuelimika lakini umewahi kuwaona wakiungana na familia Mbeya au Kagera? Wakinga wanapesa nyingi, wanamiliki uchumi wa Kariakoo lakini hakuna siku utawasikia wanakwenda Njombe.
Wasukuma ndo kabisa usiseme. Lakini pia tuna waha kutoka Kigoma hata viongozi tu kwenda kwao na kujenga huko hawataki....lakini makabila haya yote yanaungana na wachaga kwenda kaskazini mwisho wa mwaka. Tunahitaji kuwapongeza hawa wenzetu kwa kupenda kwao na kupathamini.
Tunapaswa kujifunza.Mikoa yote na majiji yote hakuna watu isipokuwa Arusha na Kilimanjaro.......huu umoja wao utufunze umuhimu wakishikana.
Mwisho, hawa jamaa ukiangalia magari yanayopeleka misiba kwao ni mengi si kwa sababu wanapenda tu kuzika kwao ila kwa sababu wanaouwezo wakuchangishana wakapata fedha, wana vikundi vyakusaidiana, wanapendana na mwisho wanainuana.
Sisi wengine tumebaki kusema hatutaki ukabila, bila makabila kuna Tanzania?
Unapoteza muda kuhangaika na watu finyu kama hao?Hiv nyinyi hamuwezi jisifia kivyenu mkaacha kuyasema makabila mengine?
Kila kabila lina culture zake na ziheshimiwe...usiforce wote mfanane..huo ni ushamba...
Na mara nyingi makabila unayoyataja taja ni yale mnayofeel inferior mbele yao...yaan unahisi wamekupita so unatafuta attention kutoka kwao
Anyway wahaya wanarudi sana kwao tu..katafute bus la kwenda bk leo uone kama utapata
Stendi ya Bukoba naona imezungushiwa mabati iko inajengwa..
Eti michango ya maendeleo..juzi tu hapa wahaya wamechangia ujenzi wa ujenzi wa uzio wa kisasa wa shule ya sekondary Bukoba na omumwani hapo Bukoba...
Bukoba kunajengwa barabara ya njia nne km 5.1
Bukoba bandari yake inapanuliwa ikizidi kuwa ya pili kwa ukubwa kanda ya ziwa...
Bukoba kunajengwa Tawi kubwa sana la UDSM
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya mkoa
Bukoba mji mzima kwenye junction kali kuna taa za kuongoza magari...
Uwanja wa ndege Bukoba unawekewa control tower
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya moyo...
Jana tu wahaya diaspora walikuwa na kikaa na mkuu wa mkoa wao kujadili jinsi ya kuinua uchumi wa mkoa wa kagera...hoja kibao zimeletwa na mambo mengi yanafanyika siku hiz...bukoba ni construction site na mwakani itapata new shopping mall
Tuje moshi kuna kitu gani kinaendelea zaidi ya mji kuzidi kuchakaa kila kukicha....
Wana ujinga mwingi...na actually ni washamba wazr tu...Unapoteza muda kuhangaika na watu finyu kama hao?
Wao ni kujisifu kiboya tu. Juzi tupo downtown fulani kuna moja linajisifu kwamba "in Tanzania, the Chaga tribe is considered the most developed by European and US standards.
Akaendelea kudai kwamba, "the Chaga community stands out for having the highest number of LGBTQ individuals, who live without fear of stigma or harm in their community".
Lile fala likaendelea kudai kuwa "the LGBTQ community in the Chaga tribe is robust and expanding, surpassing the combined numbers of other communities in the coutry, excluding Zanzibar".
Akaongezea mfano yule shoga aliyefanyikwa operation ya kubadili jinsiakwa kusema , "the first Tanzanian man to undergo gender reassignment surgery was from the Chaga tribe".
Yaani wanawashwa washwa sana na cha kushangaza wanajaribu kujionesha wao ni bora kuliko wengine!Wana ujinga mwingi...na actually ni washamba wazr tu...
Wew kama unajefeel uko developed then sherekea kivyako achana kuhusisha makabila mengine..
Mara wahaya, wasukuma etc..huu ni upumbavu na kuna wachagga wengi ni wapumbavu hasa vijana wa siku hiz...ndo maana moshi inazidi kudecay na kuchakaa kila siku kwa sababu ya EGO walionayo vijana wa huko.
Na ni kweli LGBTQ imetia kambi Miongoni mwa wachagga..na wao wanaipuuzia..subiri watakuja kushtuka kushakucha maana ile spirit uwa inasambaa kwenye koo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Safi HomieGo east go west home is the best.
Chuga ndio nyumbani.
Moshi is just a ghost town kwa sasa. Imebaki kuwa "December town". Ni mji ambao una above 55 wengi zaidi kuliko vijana, wakati huohuo idadi ya kuzaliana ya vijana hao ikiwa chini sana.Wana ujinga mwingi...na actually ni washamba wazr tu...
Wew kama unajefeel uko developed then sherekea kivyako achana kuhusisha makabila mengine..
Mara wahaya, wasukuma etc..huu ni upumbavu na kuna wachagga wengi ni wapumbavu hasa vijana wa siku hiz...ndo maana moshi inazidi kudecay na kuchakaa kila siku kwa sababu ya EGO walionayo vijana wa huko.
Na ni kweli LGBTQ imetia kambi Miongoni mwa wachagga..na wao wanaipuuzia..subiri watakuja kushtuka kushakucha maana ile spirit uwa inasambaa kwenye koo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
itakuwa wanajali kwao, inabidi sisi Waha tuige hii maneno!Mimi hata sioni Mantiki ya andiko lako! Sasa hao wanasai au wapare wanawazidi nini wahaya na Wasukuma?
Unadhani Kigoma Dar nikama kwenda Moshi! Wale Kinachowasaidia pia ukarbu na mji mkuu wa kiuchumi Dar! just kilometer 500itakuwa wanajali kwao, inabidi sisi Waha tuige hii maneno!
Kwani Garimoshi hamna? Au unafikiri hawa jamaa huenda kwa ndege?Unadhani Kigoma Dar nikama kwenda Moshi! Wale Kinachowasaidia pia ukarbu na mji mkuu wa kiuchumi Dar! just kilometer 500
Endeleeni na Tambo zenu za kijinga huku mji wengu ukizidi kuangamia...Unawaita wasomi wa Kagera Nguchiroooooooo, huku tumelogwa ujue mkoa kama Kagera hata stand hakuna. Wakija nyumbani mabasi yatasimama wapi?
Ofcoz wanapenda kupanda ndege ila uwanja mdogo aaahaaaaaa
Wasukuma tupo nyuma ila wahaya wapo nyuma zaidi....wabishi hata kutoa michango ya maendeleo

Kibosho sehemu gani umbwe, kirima, singa au wapi huko 😅😅😅😅Machalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini