Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,032
- 4,736
Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila mengine yanaungana na hawa watu ambao kwa bahati nzuri awajawahi kukataa kwao.
Leo yakitokea madhara kaskani katika sikukuu hii hakuna nchi ambayo mwanachi wake hatoaathirika , hakuna kijiji hapa nchini ambacho kitakosa mwakilishi huko Kaskazini.
Jambo jingine ni kwamba hawa wafu wanapenda kwao bila kujali ngazi ya maendeleo. Mfano Masai pamoja na ujio umaskini wake lakini anajisifu kuzaliwa ngorongoro. Kuna watu wamezaliwa Pwani na wanaishi DAr ila ukiwaambia waende kwao mtagombana.
Wahaya na Wanyakyusa wamesoma na kuelimika lakini umewahi kuwaona wakiungana na familia Mbeya au Kagera? Wakinga wanapesa nyingi, wanamiliki uchumi wa Kariakoo lakini hakuna siku utawasikia wanakwenda Njombe.
Wasukuma ndo kabisa usiseme. Lakini pia tuna waha kutoka Kigoma hata viongozi tu kwenda kwao na kujenga huko hawataki....lakini makabila haya yote yanaungana na wachaga kwenda kaskazini mwisho wa mwaka. Tunahitaji kuwapongeza hawa wenzetu kwa kupenda kwao na kupathamini.
Tunapaswa kujifunza.Mikoa yote na majiji yote hakuna watu isipokuwa Arusha na Kilimanjaro.......huu umoja wao utufunze umuhimu wakishikana.
Mwisho, hawa jamaa ukiangalia magari yanayopeleka misiba kwao ni mengi si kwa sababu wanapenda tu kuzika kwao ila kwa sababu wanaouwezo wakuchangishana wakapata fedha, wana vikundi vyakusaidiana, wanapendana na mwisho wanainuana.
Sisi wengine tumebaki kusema hatutaki ukabila, bila makabila kuna Tanzania?