TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,743
Kumbe lengo lao kuuza sura kupitia TV na siyo kuwawakillisha wapiga kura wao. Haooooooooooo, wamewkwenda zao kula Bata.
Halafu si huwa hawamtambui?sawa kabisa , kwanza wangechangia nini wakati hawakuwepo Rais alipokuwa akihutubia.
Kubenea ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Amewaweka akina Mbowe mfukoni
Kubenea ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Amewaweka akina Mbowe mfukoni
Kama ulifuatilia mchakato ule hadi yeye kufika hapo kwenye unaibu utamjua tu ni mtu wa namna gani.Tunakoelekea ni Udikteta mtupu. Wateteeni ccm wenzenu tu ila wananchi huku tanawaona upuuzi mnaoufanya. Dr Tulia hujiamini hata kidogo..
There is a need of a city hunter, aanze na bunge.Kama ulifuatilia mchakato ule hadi yeye kufika hapo kwenye unaibu utamjua tu ni mtu wa namna gani.
wamezoea kula bata hao.Naona pale mwenyekiti wao anawahimiza wasaini fasta wawahi kula bata
Kuna wachangiaji humu naona vichwa vyao ni sawa na nazi koroma, UKAWA wanachofanya ni kutetea Watanzania nyie mnawakebehi kwa vile mwisho wenu wa kufikiri ni kwenye pua zenu. Na mnaona kwamba ujinga na upuuzi unaofanywa na wabunge wa Ccm ni sawa. Ila jueni kwamba wabunge wa Ccm ndio wanao kwenda bungeni kuhalalisha posho kwa kusema ndiyooo za kinafiki. Wakija kwenu wanawapigia magoti muwape kura na kuwa ahidi utumishi ulio tukuka. Baada ya kura wao ni chama kwanza nyie baadae. Ukawa wao ni wananchi kwanza chama baadae[Kumbe lengo lao kuuza sura kupitia TV na siyo kuwawakillisha wapiga kura wao. Haooooooooooo, wamewkwenda zao kula Bata.
Hakushindi Ww Mkuu Huyo Mh. Kubenea!!!Kubenea ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Amewaweka akina Mbowe mfukoni
Kwanini unasema hivyo; yaani, upuuzi wake ni nini hasa?Kubenea ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Amewaweka akina Mbowe mfukoni
Andika kwa Kiswahili wewe. Acha kujiaibisha.The Constitution movie is now drawing the End.
Sema wewe siyo wengiWananchi wengi wamesha choka na hii tabia ya upinzani kususa.