Wabunge wa upinzani wamezidiwa ujanja na wabunge wa CCM sana bila kutambua

Bunge linaendelea,wabunge wa upinzani ambao ndio upande wangu wamezidiwa ujanja na CCM kabisa safari hii.yaani nimewadharau sana kwa kutoweza kulijua hili.

Hivi ni lini CCM waliungana na wapinzani pale bungeni katika kuamua jambo kwa pamoja? Eti safari hii wameazimia kwa pamoja hoja ya waitara kwamba Paul Makonda na Dc wa Arumeru waitwe kwenye kamati ya maadili ya bunge kwa kulidharau bunge.

Hivi nyie wabunge wetu hamjaweza kujitafakari kwa kina kwamba ni kwa nini ccm wakubaliane 100% na nyie?

Juzi Mh.Zito Kabwe si alitoa hoja binafsi kwamba bunge lijadili kwa nini wabunge wakamatwe hovyo wakiwa eneo la bunge? Je hao ccm walitoa ushirikiano?

Bunge live hakuna,wapinzani mlipaza sauti sana,je hao ccm walitoa ushirikiano?

Hakuna mikutano ya vyama vya siasa,mmelalamika sana je hao ccm walitoa ushirikiano?

Ni mambo mengi yenye tija kwa taifa huwa mnayapigania sana hadi wakati mwingine mnasusa na kutoka ndani ya bunge,lakini hao wabunge wa CCM hawajawahi kuwapa support. Iweje kwa hili wawe upande wenu?

Tena hili halina hata tija yoyote kitaifa.Hivi hili lina maana kuliko la katiba mpya? Mbona hawakuwasupport?

Yaani mmeshindwa kuelewa kwamba nyie mmefanywa kama daraja hapo? Daah,kweli akili ni nywele kila mmoja ana zake.
Ulitakaje? Wote ni wawakilishi wetu, ulitaka wapigane? Kuungana ni ukomavu wa kisiasa na hii ni taa nyekundu kwa uongozi kwamba wabunge kwa umoja wao Hata kama wanakaa kimya lakini wanajitambua
 
Kuna rapa mmoja sijui nani vile, nachokumbuka kipande kidogo cha kuchana kwake, kuwa wabunge ni "waseee-ngerema", hivi aliitwa bungeni?
 
Bunge linaendelea,wabunge wa upinzani ambao ndio upande wangu wamezidiwa ujanja na CCM kabisa safari hii.yaani nimewadharau sana kwa kutoweza kulijua hili.

Hivi ni lini CCM waliungana na wapinzani pale bungeni katika kuamua jambo kwa pamoja? Eti safari hii wameazimia kwa pamoja hoja ya waitara kwamba Paul Makonda na Dc wa Arumeru waitwe kwenye kamati ya maadili ya bunge kwa kulidharau bunge.

Hivi nyie wabunge wetu hamjaweza kujitafakari kwa kina kwamba ni kwa nini ccm wakubaliane 100% na nyie?

Juzi Mh.Zito Kabwe si alitoa hoja binafsi kwamba bunge lijadili kwa nini wabunge wakamatwe hovyo wakiwa eneo la bunge? Je hao ccm walitoa ushirikiano?

Bunge live hakuna,wapinzani mlipaza sauti sana,je hao ccm walitoa ushirikiano?

Hakuna mikutano ya vyama vya siasa,mmelalamika sana je hao ccm walitoa ushirikiano?

Ni mambo mengi yenye tija kwa taifa huwa mnayapigania sana hadi wakati mwingine mnasusa na kutoka ndani ya bunge,lakini hao wabunge wa CCM hawajawahi kuwapa support. Iweje kwa hili wawe upande wenu?

Tena hili halina hata tija yoyote kitaifa.Hivi hili lina maana kuliko la katiba mpya? Mbona hawakuwasupport?

Yaani mmeshindwa kuelewa kwamba nyie mmefanywa kama daraja hapo? Daah,kweli akili ni nywele kila mmoja ana zake.
Huna lolote,huna hoja ya maana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani aliyepeleka hoja ya Makonda Bungeni ni nani? Na kwa maana hiyo, kama imeueungwa mkono aliyeshinda ni nani!

BTW, Hujui huyo makondakta ni adui wa maksudi kwa upinzani nchini?
 
Kuna Wabunge wanataka kuzuia hii vita ya madawa ya kulevya kupitia maazimio ya bunge.
Wapinzani nao bila kujua wamewaunga mkono kwa nguvu zote.

Nimeshangaa kweli eti heshma ya wabunge wanaitafuta kupitia kuwatetea watuhumiwa wa madawa ya kulevya. Kwa nini isiwe wakati wenzao wanakamatwa na kutupwa ndani na hata kunyimwa dhamana.

Nilitegemea wabunge wa upinzani waunge mkono hii vita badala yake wao ndio wanakua mbele kuhujumu harakati za kupunguza viashara haramu ya nadawa.
Ndege mjanja siku zote unamnasa na tundu bpooovu
 
Bunge linaendelea,wabunge wa upinzani ambao ndio upande wangu wamezidiwa ujanja na CCM kabisa safari hii.yaani nimewadharau sana kwa kutoweza kulijua hili.

Hivi ni lini CCM waliungana na wapinzani pale bungeni katika kuamua jambo kwa pamoja? Eti safari hii wameazimia kwa pamoja hoja ya waitara kwamba Paul Makonda na Dc wa Arumeru waitwe kwenye kamati ya maadili ya bunge kwa kulidharau bunge.

Hivi nyie wabunge wetu hamjaweza kujitafakari kwa kina kwamba ni kwa nini ccm wakubaliane 100% na nyie?

Juzi Mh.Zito Kabwe si alitoa hoja binafsi kwamba bunge lijadili kwa nini wabunge wakamatwe hovyo wakiwa eneo la bunge? Je hao ccm walitoa ushirikiano?

Bunge live hakuna,wapinzani mlipaza sauti sana,je hao ccm walitoa ushirikiano?

Hakuna mikutano ya vyama vya siasa,mmelalamika sana je hao ccm walitoa ushirikiano?

Ni mambo mengi yenye tija kwa taifa huwa mnayapigania sana hadi wakati mwingine mnasusa na kutoka ndani ya bunge,lakini hao wabunge wa CCM hawajawahi kuwapa support. Iweje kwa hili wawe upande wenu?

Tena hili halina hata tija yoyote kitaifa.Hivi hili lina maana kuliko la katiba mpya? Mbona hawakuwasupport?

Yaani mmeshindwa kuelewa kwamba nyie mmefanywa kama daraja hapo? Daah,kweli akili ni nywele kila mmoja ana zake.
Hujui ulitendalo, ukibalehe kisiasa utaacha kutuandikia pumba
 
wapinzani hata wakipinga hoja itapita tu!

C.C.M ndiyo mabingwa wa kura ya NDIYOOO,afu pia sisi wapinzani hatuwezi kumsaidia Mkondo na Makkufuuli katka kuivunja katiba ya JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA!

Tutalitetea bunge kama mhimili unaojitegemea!sisi kwetu hakuna muhimili uliojichimbia zaidi!
 
Back
Top Bottom