juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
- Thread starter
- #21
Mkuu wanaungana katika kumu_attack mtuInaonekana huna rekodi ya mambo!! Nkukumbusha tu Philemon luhanjo aliekua katibu kiongoz maazimio ya kumtoa yaliptishwa wap? Ishu ya Richmond mpk wakafkia maamuz ya kuunda tume ya mwakyembe nan alie azimia??