Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

Hoja nyingine zinatia hasira!. Uraia wa JMT ni uraia wa aina moja!. Haki za kiraia kwa Mtanzania zinafanana kabisa!, kuna Watanzania bara wanajidhania wana haki zaidi kuliko Wanzanzibari!, ni wajinga tuu.
P
Kama raia wote wa Tanzania wana haki sawa, kwa nini raia kutoka Tanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi kwenye baadhi ya meneo ya Tanzania? Haki za kirai za watanzania hazifanani hata kidogo. Kuna raia wana haki zaidi.

Point ya msingi ni kuwa nchi mbili ziliungana na kukubaliana kuwa hawatashirikiana ardhi, fullstop. Ndivyo inavyotakiwa kuwa. Mmoja akitaka ardhi ya mwenzake afuate utaratibu kama muwekezaji wa kigeni.
 
Hata Kama. wakienda kutafuta maisha zbar hawaruhusiwi kwa sheria za zbar kumiliki ardhi huko,
Kwa namna ulivyoliweka siyo kweli. Mtanzania kutoka bara akikaa Zanzibari miaka 10 au zaidi mfululizo huhesabika ametimiza shariti la kisheria la kuwa mkazi wa Zanzibari na hivyo kupewa kadi ya ukazi wa Zanzibar ambayo humpa stahili ya kumiliki ardhi na stahili zingine zote za wakazi (raia) wa Zanzibar. Ni ukazi mfululizo na siyo wa kwenda na kurudi bara. Hii ni kwa sababu Zanzibar ni eneo dogo sana (sawa na wilaya moja kama Bagamoyo). Bila sharti hili sasa hivi wazanzibari wote wangalikuwa ni wanyamwezi wa Tabora! Huku bara wakazi wa Zanzibari wanaruhusiwa kumiliki ardhi eneo lo lote bara kama watanzania wengine, wakati wo wote. Hii ni kutokana na kwamba wao ni wachache sana, ni kama a drop in the ocean.
 
Uchache wao siyo hoja. Mtu mmoja anaweza miliki hata ekari 10,000 au zaidi. Uchache kwenye ardhi siyo hoja.
 
Nimeshanga sana kuona watu huku wanaona jambo geni
Kweli watz wako nyuma sana kujua mambo

Ova
Nadhani wengi waliomo humu ni vijana waliozaliwa kuanzia miaka ya 1985 kuja hadi 2000s. Tatizo jingine hawajishughulishi na kufahamu historia za nchi zao zaidi ya yale waliyofundishwa shuleni. Halafu badala ya kutafuta ukweli wa hizo habari wanakuja na mihemko zaidi. Samahani kama nitawakwaza wanangu!!!😂😂😂
 
Hili sikuwahi kulijua ndio nalisikia leo, ila hakuna tatizo, hao wafungwa ni Watanzania hivyo wanaweza kufanyishwa kazi popote. Hata wale masheikh wa uamsho, tumewashikilia kwenye magereza ya huku bara!.
P
Hivi wale masheikh bado wako ndani mpaka sasa??? Nakumbuka kuna kipindi waliachiwa au ilikuwa ni baadhi tu???
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa.

Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi baadhi ya watu kutoa povu!.

Kuna watu wanatafsiri potofu kuwa sehemu ya Ardhi ya Tanzania Bara ni sehemu ya Zanzibar!.

Ukweli ni huu
Anza na bandiko hili la mwaka 2014 iujue historia ya eneo hilo lilimilikiwa vipi na Zanzibar Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku kisha soma majadiliano ya Bunge ya miaka ya nyuma kuhusu issue hii.

View attachment 2644793

Shamba la Mifugo Linalomilikiwa na SMZ huko Bagamoyo

MHE. MOSSY SULEIMANI MUSSA
aliuliza:-

Kwa kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliwahi kuwa na shamba kubwa la mifugo (ng’ombe) ranchi huko Bagamoyo:-

(a) Je, Serikali ya SMZ bado inamiliki shamba hilo?
(b) Je, hadi kufikia kuboreshwa kwa shamba hilo SMZ ilitumia shilingi ngapi?

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI alijibu:-

Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na uvuvi naomba kujibu swali la Mheshimiwa Mossy Suleimani Mussa Mbunge wa Mfenesini lenye vipengele (a) na (b) kwa pamoja kama ifuatavyo:-

(a) Mheshimiwa Spika kwa kuzingatia Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA) iliyoko Makurunge katika Wilaya ya Bagamoyo inamilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ranchi hiyo ilianzishwa mwaka 1976 baada ya kupata kibali kutoka kwa Kamishna wa Ardhi chenye kumbukumbu namba LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971, hivyo kwa taarifa hizo Wizara yangu bado inaamini shamba la RAZABA bado ni mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hata hivyo kwa vile swali linaloulizwa na Mheshimiwa Mbunge linahusu mali zilizo chini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi sio Wizara ya Muungano napenda kumjulisha Mheshimiwa kuwa Wizara yangu haiwajibiki kujua kama Serikali ya Mapinduzi Zanzibar bado inamiliki au haimiliki shamba hilo.

(b) Mheshimiwa Spika, Wizara yangu haijui kama shamba hilo ambalo liko chini ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lilitumia shilingi ngapi katika kuliboresha, namshauri Mheshimiwa Mbunge akapate majibu ya takwimu hizo Wizara inayohusika katika Serilkai ya Mapinduzi Zanzibar.

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI:

Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri ya Naibu Waziri naomba kutoa maelezo ya nyongeza kama ifuatavyo.

Mheshimiwa Spika, shamba hilo ambalo ni kweli kama alivyosema Naibu Waziri lilimilikishwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini kwa miaka mingi sana karibu 30 halitumiki, kwa hivi karibuni Serikali imemega sehemu na kuwapa wawekezaji, watawekeza katika mambo ya biofuel na Sehemu bado inaendelea kuwa mali ya SMZ.

View attachment 2644761

My Take
  1. Wabara ondoeni shaka kuhusu umiliki wa SMZ eneo Bagamoyo, SMZ inalimiliki eneo hilo kihalali kabisa kwa vile walipewa na Mwalimu Nyerere.
  2. Kitendo cha SMZ kumiliki eneo huku Tanzania bara, hakulifanyi eneo hilo kuwa sehemu ya Zanzibar, ni eneo halali la SMZ ila ardhi ni ya Tanzania bara.
  3. Nchi yoyote inaweza kumiliki eneo nchi nyingine yoyote, umiliki huo haulifanyi hilo eneo kuwa sio sehemu ya nchi husika.
  4. Japo SMZ inalimiliki eneo hilo lililokuwa hekta 6,000, kwanza SMZ, haina hati ya umiliki bali ina kibali cha umiliki No. LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971.
  5. SMZ ililitelekeza eneo hilo kwa miaka 45, hivyo serikali ikalimega kumpa mwekezaji, Halmashauri ya Bagamoyo imelipima viwanja inaviuza.
  6. Kwa vile ni eneo halali la SMZ, na sasa SMZ imeibuka kuonyesha ina interest na eneo lake, then itarudi serikalini kuelezea hiyo interest, serikali itakwenda kulipima limebakia kiasi gani, SMZ itapimiwa upya na kugawa.
  7. Iwapo SMZ bado italihitaji eneo lote la awali la ekari 6,000, then italazimika kuwalipa fidia watu wote waliomegewa kihalali.
  8. Kama pia limevamiwa na wananchi, then sheria yetu ya Ardhi ya Vijiji No. 5 ya mwaka 1999 will apply kwa mtu aliyetelekeza eneo lake kwa miaka 45, wale wavamizi wana haki fulani.
  9. Ikionekana madhara ya kuwaondoa wavamizi ni makubwa kuliko kuirejeshea SMZ eneo hilo, then kile kibali cha umiliki wa SMZ kinafutwa, wananchi wanapimiwa, na SMZ wanapewa eneo jingine, tuna mapori kibao ya kumwaga, hata wakitaka heka 10,000 wanapewa.
  10. Hii ya kuwagaiya wavamizi imefanyika sana kwenye maeneo ya jeshi na maeneo ya RTD, wavamizi wamepimiwa na kuhalalishiwa!.
Hivyo Watanzania wenzangu isiwe na wasiwasi kabisa kuhusu hili, after all eneo lote la Zanzibar ni sehemu ya JMT hakuna sababu ya watu kutoa povu, Wanzanzibari kuniliki Ardhi Bara lakini Wabara hawewezi kumiliki ardhi Zanzibar, kwasababu Wazanzibari ni Watanzania wenzetu wana haki zote za Utanzania, ila Zanzibar ni the minority, visiwa vyao ni very tiny, tukiruhusu kila Mtanzania kumiliki ardhi Zanzibar, itaelemewa na kuvizamisha visiwa vile!.

Wakati wa kuumbika nchi, Zanzibar ilikuwa eneo la bara likamegeka kwa sea erosion, hivyo Visiwa vya Zanzibar ni sehemu halali ya Tanzania bara ndio maana dhima ya muungano wetu adhimu ni udugu, sisi ni ndugu moja, Waarabu walipokuja Zanzibar ile 1732 Sultan Seyyid Said alipohamoshia Sultanet take toka Oman kuja Zanzibar, aliwakuta wenyeji halisi ni Wahadimu, kutoka Bara, alivitwaa visiwa hivyo toka ukoo wa Mwinyimkuu, na waliompindua Sultan kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni wajukuu wa Mwinyimkuu wenye Zanzibar yao, ndio maana slogan ya Mapinduzi Daima ipo, na baada ya muungano tumekuwa kitu kimoja, ndio maana slogan ya muungano ni tutaulinda kwa gharama yoyote.

Miongoni mwa gharama hizo ni kumsamehe madeni, kumpa 4.5% ya fedha za mikopo na misaada, ajira na hata kumpa eneo lolote Wazanzibari watakalotaka.

Watanzania bara tujifunze kuwa na shukrani, tushukuru sana Zanzibar, ukanda wa eneo la maili 10 ya Pwani ya ya bahari ya hindi, lilikuwa eneo la Zanzibar, ikatugawia!, miji yote ya Pwani kuanzia Dar, Tanga, Bagamoyo imejengwa na Sultan of Zanzibar!

Hata mjengo wa Ikulu ya Magogoni, imejengwa na Sultan of Zanzibar, hata ile replica ya Ikulu pale Chamwino ni mjengo wa Kiarabu!, mbona watu mnakosa shukrani kwa mambo mazuri kama haya, mnaona nongwa Zanzibar kumiliki eneo huku Bara!

Mapinduzi Daima
Muungano Tutaulinda kwa gharama yoyote!.

Paskali.
Kumbe vyenu vinawauma eee watanganyika nyau Sana mbona huku mmejaa wasikuma mnalala mpaka barabarani ZANZIBAR inapoteza haiba imepotea ustaarabu wakinzanzibar umetoweka HESHIMA utu ukarimu vyote vimeondoka mijitu inaokula tumbaku na kufanya mauwani na ujambazi imetapakaa

Isiwe shida chukuweni Bagamoyo yenu tuachilieni visiwa vyetu
Mtanganyika go home
Zanzibar NI Ardhi yetu na tutarithisha vizazi vyetu

Mayala maanake NI NJAAAA
NJAAAA ya kututawala
NJAAAA ya kutuua katika chaguzi
NJAA yakutamani Mali zetu
 
1. Malawi Cargo Dar.

2. Zambia Cargo Dar na Mtwara.

3. Kumbe ndiyo maana Magufuli alikuwa mjanja akamgomea Museveni kwamba lazima JMT nayo imiliki EACOP Bomba la Mafuta la Hoima Chongoleani badala ya Uganda pekee. Urefu wa bomba 1443 km, 80% ikimilikiwa (iko) JMT na 20% Uganda.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
JPM alikuwa mzalendo wa kweli wa Tanzania, wengi bado wanamuombea Mungu apumzike kwa amani, mimi nimeisha elezwa alipo Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani ni anakula raha kwa kwenda mbele.
P
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa.

Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi baadhi ya watu kutoa povu!.

Kuna watu wanatafsiri potofu kuwa sehemu ya Ardhi ya Tanzania Bara ni sehemu ya Zanzibar!.

Ukweli ni huu
Anza na bandiko hili la mwaka 2014 iujue historia ya eneo hilo lilimilikiwa vipi na Zanzibar Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku kisha soma majadiliano ya Bunge ya miaka ya nyuma kuhusu issue hii.

View attachment 2644793

Shamba la Mifugo Linalomilikiwa na SMZ huko Bagamoyo

MHE. MOSSY SULEIMANI MUSSA
aliuliza:-

Kwa kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliwahi kuwa na shamba kubwa la mifugo (ng’ombe) ranchi huko Bagamoyo:-

(a) Je, Serikali ya SMZ bado inamiliki shamba hilo?
(b) Je, hadi kufikia kuboreshwa kwa shamba hilo SMZ ilitumia shilingi ngapi?

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI alijibu:-

Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na uvuvi naomba kujibu swali la Mheshimiwa Mossy Suleimani Mussa Mbunge wa Mfenesini lenye vipengele (a) na (b) kwa pamoja kama ifuatavyo:-

(a) Mheshimiwa Spika kwa kuzingatia Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA) iliyoko Makurunge katika Wilaya ya Bagamoyo inamilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ranchi hiyo ilianzishwa mwaka 1976 baada ya kupata kibali kutoka kwa Kamishna wa Ardhi chenye kumbukumbu namba LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971, hivyo kwa taarifa hizo Wizara yangu bado inaamini shamba la RAZABA bado ni mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hata hivyo kwa vile swali linaloulizwa na Mheshimiwa Mbunge linahusu mali zilizo chini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi sio Wizara ya Muungano napenda kumjulisha Mheshimiwa kuwa Wizara yangu haiwajibiki kujua kama Serikali ya Mapinduzi Zanzibar bado inamiliki au haimiliki shamba hilo.

(b) Mheshimiwa Spika, Wizara yangu haijui kama shamba hilo ambalo liko chini ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lilitumia shilingi ngapi katika kuliboresha, namshauri Mheshimiwa Mbunge akapate majibu ya takwimu hizo Wizara inayohusika katika Serilkai ya Mapinduzi Zanzibar.

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI:

Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri ya Naibu Waziri naomba kutoa maelezo ya nyongeza kama ifuatavyo.

Mheshimiwa Spika, shamba hilo ambalo ni kweli kama alivyosema Naibu Waziri lilimilikishwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini kwa miaka mingi sana karibu 30 halitumiki, kwa hivi karibuni Serikali imemega sehemu na kuwapa wawekezaji, watawekeza katika mambo ya biofuel na Sehemu bado inaendelea kuwa mali ya SMZ.

View attachment 2644761

My Take
  1. Wabara ondoeni shaka kuhusu umiliki wa SMZ eneo Bagamoyo, SMZ inalimiliki eneo hilo kihalali kabisa kwa vile walipewa na Mwalimu Nyerere.
  2. Kitendo cha SMZ kumiliki eneo huku Tanzania bara, hakulifanyi eneo hilo kuwa sehemu ya Zanzibar, ni eneo halali la SMZ ila ardhi ni ya Tanzania bara.
  3. Nchi yoyote inaweza kumiliki eneo nchi nyingine yoyote, umiliki huo haulifanyi hilo eneo kuwa sio sehemu ya nchi husika.
  4. Japo SMZ inalimiliki eneo hilo lililokuwa hekta 6,000, kwanza SMZ, haina hati ya umiliki bali ina kibali cha umiliki No. LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971.
  5. SMZ ililitelekeza eneo hilo kwa miaka 45, hivyo serikali ikalimega kumpa mwekezaji, Halmashauri ya Bagamoyo imelipima viwanja inaviuza.
  6. Kwa vile ni eneo halali la SMZ, na sasa SMZ imeibuka kuonyesha ina interest na eneo lake, then itarudi serikalini kuelezea hiyo interest, serikali itakwenda kulipima limebakia kiasi gani, SMZ itapimiwa upya na kugawa.
  7. Iwapo SMZ bado italihitaji eneo lote la awali la ekari 6,000, then italazimika kuwalipa fidia watu wote waliomegewa kihalali.
  8. Kama pia limevamiwa na wananchi, then sheria yetu ya Ardhi ya Vijiji No. 5 ya mwaka 1999 will apply kwa mtu aliyetelekeza eneo lake kwa miaka 45, wale wavamizi wana haki fulani.
  9. Ikionekana madhara ya kuwaondoa wavamizi ni makubwa kuliko kuirejeshea SMZ eneo hilo, then kile kibali cha umiliki wa SMZ kinafutwa, wananchi wanapimiwa, na SMZ wanapewa eneo jingine, tuna mapori kibao ya kumwaga, hata wakitaka heka 10,000 wanapewa.
  10. Hii ya kuwagaiya wavamizi imefanyika sana kwenye maeneo ya jeshi na maeneo ya RTD, wavamizi wamepimiwa na kuhalalishiwa!.
Hivyo Watanzania wenzangu isiwe na wasiwasi kabisa kuhusu hili, after all eneo lote la Zanzibar ni sehemu ya JMT hakuna sababu ya watu kutoa povu, Wanzanzibari kuniliki Ardhi Bara lakini Wabara hawewezi kumiliki ardhi Zanzibar, kwasababu Wazanzibari ni Watanzania wenzetu wana haki zote za Utanzania, ila Zanzibar ni the minority, visiwa vyao ni very tiny, tukiruhusu kila Mtanzania kumiliki ardhi Zanzibar, itaelemewa na kuvizamisha visiwa vile!.

Wakati wa kuumbika nchi, Zanzibar ilikuwa eneo la bara likamegeka kwa sea erosion, hivyo Visiwa vya Zanzibar ni sehemu halali ya Tanzania bara ndio maana dhima ya muungano wetu adhimu ni udugu, sisi ni ndugu moja, Waarabu walipokuja Zanzibar ile 1732 Sultan Seyyid Said alipohamoshia Sultanet take toka Oman kuja Zanzibar, aliwakuta wenyeji halisi ni Wahadimu, kutoka Bara, alivitwaa visiwa hivyo toka ukoo wa Mwinyimkuu, na waliompindua Sultan kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni wajukuu wa Mwinyimkuu wenye Zanzibar yao, ndio maana slogan ya Mapinduzi Daima ipo, na baada ya muungano tumekuwa kitu kimoja, ndio maana slogan ya muungano ni tutaulinda kwa gharama yoyote.

Miongoni mwa gharama hizo ni kumsamehe madeni, kumpa 4.5% ya fedha za mikopo na misaada, ajira na hata kumpa eneo lolote Wazanzibari watakalotaka.

Watanzania bara tujifunze kuwa na shukrani, tushukuru sana Zanzibar, ukanda wa eneo la maili 10 ya Pwani ya ya bahari ya hindi, lilikuwa eneo la Zanzibar, ikatugawia!, miji yote ya Pwani kuanzia Dar, Tanga, Bagamoyo imejengwa na Sultan of Zanzibar!

Hata mjengo wa Ikulu ya Magogoni, imejengwa na Sultan of Zanzibar, hata ile replica ya Ikulu pale Chamwino ni mjengo wa Kiarabu!, mbona watu mnakosa shukrani kwa mambo mazuri kama haya, mnaona nongwa Zanzibar kumiliki eneo huku Bara!

Mapinduzi Daima
Muungano Tutaulinda kwa gharama yoyote!.

Paskali.

Mujarabu sana

Shukrani mkuu Pascal Mayalla
 
Kuzuia wageni kumiliki ardhi sio zuio la kibaguzi kwa sababu ukiondoa uhai, yaani watu, ardhi ndio kitu cha pili chenye thamani kuliko kitu kingine chochote, na ardhi ya nchi husika ni mali ya wananchi, hivyo Zanzibar wako very right, ardhi ya Zanzibar ni kwa Wanzanzibari tuu!.

Hata sisi huku bara, ardhi ya Tanzania ni kwa ajili ya Watanzania tuu, kwa vile tuna uraia mmoja tuu wa Tanzania, Wazanzibari wote ni Watanzania, wana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki ardhi kama Watanzania wengine wote.

Tena tunabahati Zanzibar Mtanzania au mtu mwingine yeyote anaweza kumiliki ardhi kama mwekezaji, Arabuni hakuna kabisa mgeni kumiliki ardhi, ili kuwa mwekezaji kule, lazima uingie ubia na mwenyeji mwenye ardhi. Tanzania tungefanya hivyo, tungekuwa mbali zaidi, migodi yote ingekuwa mali yetu kwa ubia.

Hata umiliki wa ardhi kwa wageni Tanzania bara pia hauruhusiwi!, na huo unaita ni ubaguzi?. Jee unajua Diaspora wa Tanzania waliochukua uraia wa nchi nyingine hawaruhusiwi kumiliki ardhi?. Huku sio kuwabagua?.
P

Hadhira haikuelewi.

Maana maandiko haya ni utafiti na uchunguzi wa kina.

Hadhira haijazoea!

Fanani haya yaliyomo yamo.

Aksante
 
Ardhi sio issue ya muungano, Zanzibar ina Ardhi yake na Tanzania bara ina Ardhi yake.
P
Ardhi sio suala muungano.

Mzanzibar anamilika ardhi Tanganyika.

Mtanganyika harusiwi kumiliki ardhi Zanzibar na ikijulikana ni kimbembe. Ajabu.

Serikali ya SMZ wanamilika eneo kubwa ardhi Tanganyika.

Huu ni unyonyaji wa kimuumgano kama sio upendeleo usio na haki.
 
Kumbe vyenu vinawauma eee Watanganyika (1) nyau sana(2) mbona huku mmejaa Wasu**** (3) mnalala mpaka barabarani ZANZIBAR (4)  inapoteza (5) haiba imepotea ustaarabu wa (6)  Kinzanzibar i (7,8) umetoweka HESHIMA(9) utu ukarimu vyote vimeondoka mijitu inaokula tumbaku na kufanya mauwa ji (10) na ujambazi imetapakaa

Isiwe shida chukuweni Bagamoyo yenu tuachilieni visiwa vyetu
Mtanganyika go home
Zanzibar  nI Ardhi yetu na tutarithisha vizazi vyetu

Mayala maanake NI NJAAAA
NJAAAA ya kututawala
NJAAAA ya kutuua katika chaguzi
NJAA yakutamani Mali zetu
Mkuu dega, kwanza ni nimekueditia andiko lako na kukupiga darasa
  1. Majina ya nchi yanaanza na capital letters.
  2. Neno la kawaida halihitaji capital letters
  3. Kama No.1
  4. Full capitals ni heading
  5. Kama No.2
  6. Ni two word
  7. Kama No.1
  8. Missing letter
  9. Kama No.4
  10. typo
rekebsha... mimi nilipaswa kuwa Mwalimu wa chekechea hadi darasa la 3!.
P
 
Ardhi sio suala muungano.
Ni kweli
Mzanzibar anamilika ardhi Tanganyika.
Kwanza hakuna Tanganyika, pili tuna uraia wa aina moja tuu, Mtanzania!. Kwenye haki za kiraia ikiwemo kumiliki ardhi, hakuna Mtanganyika, hakuna Mzanzibari, kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania, awe alikuwa Mtanganyika au Mzanzibari wote wana haki sawa za uraia.
Mtanganyika harusiwi kumiliki ardhi Zanzibar na ikijulikana ni kimbembe. Ajabu.
Zanzibar ina special stutus ya utawala wa ndani ambapo ardhi yake ni mdogo, tiny very minutes, hivyo ni kwa Wanzanzibari wakaazi pekee!.
Serikali ya SMZ wanamilika eneo kubwa ardhi Tanganyika.
Ni kweli ni haki yao na halali yao, walipewa zawadi na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Huu ni unyonyasaji wa kimuungano kama sio upendeleo usio na haki.
Sio unyanyasaji wa kimuungano ni faida na matunda ya muungano.
P
 
visiwa vyao ni very tiny, tukiruhusu kila Mtanzania kumiliki ardhi Zanzibar, itaelemewa na kuvizamisha visiwa vile!.

Wakati wa kuumbika nchi, Zanzibar ilikuwa eneo la bara likamegeka kwa sea erosion

Hapa Paskali unaweza kutuweke proof? Dhana ya kwamba Unguja/Pemba zilikuwa Part ya Ardhi ya Tanganyika before erosion au ndiyo Elimu ya kukariri "Big Bang Theory"?

Visiwa vitazama kwa kuzidiwa na nini? Hiyo erosion ilitokeaje? Hivi unajua kwamba maji yakitoka ardhi ya Unguja/Pemba kuja Tanga/Dsm ni flat tu wala hakuna bonde? Na yakijaa unaweza kuzamisha hata minazi mitatu kwenda chini?
 
Back
Top Bottom