Negan The Dead
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 340
- 994
Tatizo njaa, hawajui kua mapambano dhidi ya utawala wa kisukuma yameanza.Hakuna sababu ya kuandika habari za DAB wala sizonje.Hawa ni maadui wakubwa kwenye tasnia ya habari!kila mwandishi nadhani amesikia leo kuwa nape ameenguliwa kwa ajiri ya kutetea maslahi ya tasnia yenu ambako kumempelekea mmbunge wa mchinga ndugu mueshiwa Nape kupoteza uwaziri wake mmbichi kabisa.
Mmeshuhudia namna clouds ilivyovamiwa na kiongozi wa mkoa wa dar ndugu ******* ambaye leo ndio angekuwa hatakiwi kutokuwepo ofisini,lakini kwa kwa hali ya kushangaza MTU alodiri akiwa kiongozi wa serekali kukemea na kuunda tume kitu ambacho toka enzi za maswahibu ya kina kibanda,mwangosi hatujawahi ona waziri mwenye dhamana ya habari akidiri kufanya ambacho hiki nape amejaribu kukifanya kwa ajiri ya Uhuru wa wanahabari,
leo mtakuwa watu wa ajabu kumwacha nape mwenyewe na nyie kwenda kuripoti tukio zima la upishwaji wa mtu ambaye anarithi nafasi ya mtetezi wenu.
Cha msingi kesho march 24 muda huo kila chombo cha habari kiwe bize na utafutaji wa habari zengine kwani uapishwaji huo unatokana na KUPUUZWA KWA MALALAMIKO YENU.
Wadau wa habari tunaichukulia kesho kama mtaweza kuitumia Siku hiyo kwa kutoletea tukio hilo labda litaweza saidia kilio Chenu kusikika huenda pia MKAMFARIJI Nape kwa uhamuzi wenu huu.