Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,616
- 3,714
Unanukuu Kichwa cha habari bila kutoa kauli rasmi ya habari yenyewe. Inaonyesha ni jinsi gani watu wengi wanaendeshwa na mihemuko badala ya hoja. Mwenzio kakiweka hicho auze apate pesa, na wewe unatuletea ili......... kuleta sio kosa kosa no "habari yenyewe ikoje with reference"