cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 160
TTCL WANATOA VIFAA GANI VYA 4G au wanatoa line zao??
wana line, pia modem na router sema wanaziuza ghali sana, bei ya router unapata simu mpya ya 4gTTCL WANATOA VIFAA GANI VYA 4G au wanatoa line zao??
coverage ipoje? nimegoogle sijaambulia kitu tafadhali kama unajua tufahamishewana line, pia modem na router sema wanaziuza ghali sana, bei ya router unapata simu mpya ya 4g
Hata kama wametoa hiyo sahivi kifurishi cha buku jero kinaisha fasta toka juzi labda wanataka 2unge cha 2500 ndo wanacho kipromote sahv ! Ikija hyo 4g tutakufaNi kweli hata mimi nbaada kuswipe Lyn yangu ya Voda pale mobile plaza wakanipa hiyo ya 4G, na nilipowauliza walisema kwa kuanzia wanaanza dar kwanza na 4G halafu then baadae ndo wanaspread nje ya dar ila kwa sasa wanachofanya ni kuandaa matangazo then itakua realesed soon.
Tatizo la VOda bando zao ni ghali
dar kwa sasa mikoa mengine inafuatiacoverage ipoje? nimegoogle sijaambulia kitu tafadhali kama unajua tufahamishe
basi itakuwa kimya kimya mkuu ngoja tusubiri waje wasemeNimeswap pale mobile plaza kaka siyo uchochoroni kama unavyodhani
Sijajua bado ndio maana nimeuliza eti lolowapi band zipi zinahusika
kwa band zipi??
Nimejaribu kuweka 4G ya Tigo inaniambia eti sitaweza kupata Voicecalls!!!! Kwahio nikiwa kwa 4G ndio Napata data tu?? Mweeeee
Asante sana ila ukweli ni kwamba sijawahi kuiona hata inafafanaje maana kila siku naishia kwenye E juzi nimeweka Airtel at least ilifika kwa H+ na ikawa kwa baadhi ya nyakati ina download hadi 700kb/sUkiweka Lte/Gsm unapata vyote 4g pamoja na voice calls. Ukichagua LTE only utapata data tu maana tigo bado awasupport Voice over lte VoLte. Smile tu ndio wana hii service sijui vodacom wiki hii nadhani nitaenda kuswap line nitest
Asante sana ila ukweli ni kwamba sijawahi kuiona hata inafafanaje maana kila siku naishia kwenye E juzi nimeweka Airtel at least ilifika kwa H+ na ikawa kwa baadhi ya nyakati ina download hadi 700kb/s