Voda watoa 4G LTE

Ahhhh 4g ya tigo mizinguo kwanza kwangu haivuki 23Mbps au 3MB/s wakati hizo ni spidi za HSPA+. Ndio maana nilikuwa nawasubiri Airtel au vodacom waingie ulingoni sana sana airtel maana bundle zao ni nzuri.
vifurushi vya airtel na 4g = match made in heaven
 
Nimetumiwa ujumbe katika simu yangu:

Vodacom 4G imefika! Badilisha laini BURE iwe ya 4G upate GB4 BURE kutumia ndani ya siku 7. Tembelea Vodashop yoyote Dar na kitambulisho. Vodacom, HAPA KASI TU!

Nini maoni yenu!
 
IMELETWA KWAAJILI YA CCM NA WANACCM.! SISI HAITUHUSU! TIGO NA HALOTEL ZINATOSHA SANA.
 
Ahh.. Umenena maana hivo vi 500mb wanavyotoa for 1000 havitomaliza hata nusu saa

Ina maana kama ninacho-download kina 20Mb nikitumia 4G inakula mb nyingi zaidi kuliko nikitumia 3G?

Je siyo kwamba mb ni zile zile lakini muda unaotumika unakuwa mfupi zaidi kwa sababu ya speed kubwa zaidi?
 
Naomba kujua kitu:

Hivi hakuna hardware upgrade katika minara inayotakiwa ili kuruhusu 4G?
 
Ina maana kama ninacho-download kina 20Mb nikitumia 4G inakula mb nyingi zaidi kuliko nikitumia 3G?

Je siyo kwamba mb ni zile zile lakini muda unaotumika unakuwa mfupi zaidi kwa sababu ya speed kubwa zaidi?
Hamna ni kile kile lakini siunajua tena na spidi kubwa matumizi yanabadilika kama zamani speed ya tigo ilivyokuwa mbavu sana sana nitaangalia video youtube kwa 240p quality au 360p na bado zina buffer mnoo...

Lakini kama mitandao hii siku hizi spidi kubwa mfano halotel 1.2MBps na Tigo 4g 2MBps lazima matumizi yatabadilika utashawishika kuangalia video kwenye 720p au 1080p.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom