Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,994
- 961
VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea.
Waziri Bashungwa ameeleza hayo jijini Dodoma tarehe 5 Aprili, 2024 katika hafla ya kuangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Ujenzi.
Ameeleza miradi mingine ya Viwanja vya ndege vipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ikiwemo Kiwanja Cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Kiwanja cha Ndege cha Iringa, Kiwanja cha Ndege cha Kigoma (Awamu ya tatu), Kiwanja cha Ndege Moshi, Kiwanja cha Musoma, Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga, Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga na Kiwanja cha Ndege cha Tabora (Awamu ya tatu).VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea.
Waziri Bashungwa ameeleza hayo jijini Dodoma tarehe 5 Aprili, 2024 katika hafla ya kuangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Ujenzi.
Ameeleza miradi mingine ya Viwanja vya ndege vipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ikiwemo Kiwanja Cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Kiwanja cha Ndege cha Iringa, Kiwanja cha Ndege cha Kigoma (Awamu ya tatu), Kiwanja cha Ndege Moshi, Kiwanja cha Musoma, Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga, Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga na Kiwanja cha Ndege cha Tabora (Awamu ya tatu).
Attachments
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.11.jpeg150.6 KB · Views: 7
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.12.jpeg135.3 KB · Views: 5
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.12(1).jpeg162.4 KB · Views: 8
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.13.jpeg159.7 KB · Views: 7
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.13(1).jpeg154 KB · Views: 6
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.13(2).jpeg186.7 KB · Views: 7
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.14.jpeg163.9 KB · Views: 7
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.15.jpeg172.9 KB · Views: 5
-
WhatsApp Image 2024-04-05 at 18.48.15(1).jpeg171.2 KB · Views: 6