The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 3,408
- 9,276
Inawezekana kabisa. Kuna watu wanazo bongo ila wakikunasa. Halafu wabongo walivyo wambea watajua tu unayo watakuchoma na kukuchongea.Hapo Kenya ni Karibu sana! hivi nikiorder Starlink yangu online nikifunga ziwezi kunasa Data ?
Kuna jamaa alikuwa na king'amuzi cha Canal + burundi walimchoma asee