Acheni kutumia umaskini au mnajikiita unyonge kuhalalisha uhalifu, nasema tena acheni kutafuta umaarufu wa kipuuzi kwa mgongo wa kuwatetea wahalifu. Kazi ni shughuli halali, na kazi halali ziko nyingi nchi hii siyo kuuza K. Nawe acha kutafuta umaarufu wa kisenge kujifanya unatetea maskini, acheni upuuzi. Halafu tumia akili siyo makalio, watu kwenye lodges wamejisitiri kwanza unajuaje wanafanya ukahaba? Hao wamejisitiri hao wa Mwananyamala wanafanya hadharani wakizungukwa na jamii mchana kweupe. Kwanza kuhusu tendo la ndoa hata haitakiwi haifahamiki km watu wanaenda na wanafanya hilo tendo, hilo ni tendo la siri. Chalamila anahitaji pongezi na kutiwa moyo. Acheni ukahaba wapuuzi nyie.Ukahaba mkoani Dar es Salaam na nchi hii kwa ujumla unafanyika kila mahali, sio katika madanguro ya Mwananyamala tu. Ukahaba unafanyika katika Lodges, Hoteli kubwa, maofisini kwa watu, katika magari na hadi nyumbani kwa watu.
Kwanini vita vya ukahaba hapa Dar vimelenga madanguro tu ya aina ya Mwananyamala ambayo yanaonekana ni ya masikini hoehahe wa kipato badala haya maeneo yote kwa ujumla?
Usawa katika kudhibiti ukahaba ulipasawa kujumuisha kutaka nyumba zote za kulala wageni hata hotel kubwa zisiruhusu mwanaume na mwanamke wasio na cheti cha ndoa kulala chumba kimoja, kupiga marufuku wanaume kuhonga katika mapenzi au kutoa pesa kwa wanawake wasio wake wa ndoa baada ya kufanya mapenzi.
Ila kuna baadhi ya askari polisi wana akili fupi kama mini sketi za makahaba!Kwa hiyo kila mwanamke anayevaa mini skirt wanamtafsiri ni muuza uroda?🤔Kwa kuwa wengi wetu tukienda baa huwq tunataka wake zetu au michepuko yetu ijipigilie vimini na nguo matata, na polisi wanashindwa kutofautisha kimavazi wake zetu na vingasti, na wale wauzaji, namshauri Chalamila atoe tangazo la serikali wanawake wote wa Dsm waende wamevaa madela au vitenge kwenye mabaa na kumbi za starehe.
Hii itawaondolea ugumu Polisi wetu kwa kuwa Sasa wakiona nguo fupi kwa mwanamke aliye baa, wanamkamata
Sasa,Chalamila anashambuliwa kwa nini?Kwani yeye ndiye ameua?Mama anaangushwa na hawa wasaidizi wake wengi vilaza na washamba anaowateua, huku wakiwa na asili ya maporini huko.
Huyu jamaa angekuwa ni mtoto wa mjini, asingeanzisha vita ya kipuuzi kama hiyo. Ajifunze kwa wenzake akina Papaa Amos Makalla, mutu ya watu!
Kosa lake Chalamila ni nini hasa?Ushamba wake aurudishe alikotoka. Akivaa kimini mzungu haina shida ila akivaa mbongo ni changudoa
😂😂😂😂😂Kwani kamtwanga mtu masasi?Chalamila ni mlevi, kauli na maamuzi yake ni ya kilevi. Hapaswi kuchukuliwa serious kwa lolote.
Na waliomuweka madarakani wajitafakari kabla athari haijawa kubwa zaidi.
Maelekezo yake yamepelekea mauaji.Sasa,Chalamila anashambuliwa kwa nini?Kwani yeye ndiye ameua?
Wao wanasema kila siku watu wajiajir. Haya madada poa wamejiajiri nayo imekua kero kuwafuatilia na mitutu ya bunduki.Kosa lake Chalamila ni nini hasa?