Viongozi wengi wanaoteuliwa ni ''zao'' la UDSM, hizi siyo fikra potovu?

Humu JF naona wengi wanaweweseka kuwa hapa TZ chuo UDSM pekee, kwa zama za 1960s lakini leo hii kila jicho huonja. Lakini pia napinga kauli kuwa uteuzi wa viongozi wengi unafanywa kwa waliosoma chuo hicho. Hizi zinabaki kuwa hisia tu na mawazo ya mteuzi - TANZANIA NI MOJA NA ITADUMU KUWA MOJA
 
Kuna kaushahidi ka mbaali kuwa viongozi wengi wanaoteuliwa katika nafasi mbalimbali serikalini, walisoma ama wamefanya kazi katika Chuo Kikuu Cha Dar es salam (UDSM)!!!

Swali ni je, hadi leo vyuo vingine haviwezi kupatikana hao viongozi na badala yake kuchukuliwa UDSM pekee?

Navyohisi ni kwamba kuna maeneo mengine kuna watu wana sifa zaidi ya UDSM peke yake tu.
Ila kwa mawazo haya na wengine wanao ona hili swala la kuliunga mkono na kujivunia... basi elimu yetu haitakaa iwe mkombozi wetu Tz maishaaa....

Mi nilijua nitasoma habari ya kuhuzunisha kuhusu hili kwanini
Chuo hicho na vingine havitoi wakandarasi madoctor na nyanja zingine wa kuleta mapinduzi ya kiuchumi, siasa, utamaduni sayansi na teknolojia na jamii kwa ujumla..

Badala yake inakuja mada ya kuzungumzia viongozi ambao toka wakae madarakani. Mabaya/matatizo ni mengi kuliko mafanikio.

Wenzetu jirani vyuo vinabuni vipakatanishi, magari yanayotumia maji,
mnakuja jisifia suala la viongozi?

Ni kweli vijana ndio tumefikia huko.

Kuna haja gani ya kujisifia umetoka chuo flani kama hakuna kitu umefanya juu ya elimu yako kutoka katika chuo husika.

Hata research zenyewe tuna nakili kutoka katika research zilizo kwisha fanywa.

Em niishie hapa nisijetafutwa na Sheria ya mitandao
 
Kuna kaushahidi ka mbaali kuwa viongozi wengi wanaoteuliwa katika nafasi mbalimbali serikalini, walisoma ama wamefanya kazi katika Chuo Kikuu Cha Dar es salam (UDSM)!!!

Swali ni je, hadi leo vyuo vingine haviwezi kupatikana hao viongozi na badala yake kuchukuliwa UDSM pekee?

Navyohisi ni kwamba kuna maeneo mengine kuna watu wana sifa zaidi ya UDSM peke yake tu.

Tuwe wakweli kwani mpaka sasa nchi ina vyuo vikuu vingapi ukiacha UDSM? Kwakwakwakwakwakwa, natania tu!
 
Sababu wako karibu na mjini....wako Dar...wako ikulu...a.k.a wana daresalamu...kwi kwi kwi...
Ila ukweli ni kwamba UD wanapenda sana siasa...na bila kuwa mwanasiasa kupata cheo ni kuokota embe chini ya mwarobaini...
Mzumbe wanapiga kimya kimya...ma RAS, wakurugenzi wa mawizara hasa HR wengi ni product za Mzumbe...wao wanachukua vyeo ambavyo ni professional...Unajua kuwa hata Balozi Sefue ni Product ya Mzumbe????
Ulishawai sikia Mzumbe wanagoma?...hawana siasa hao
Wao ni KAZI TU
HILI NDO MOJA YA JIBU SAHIHI.
 
.
Miaka zaidi ya 50 madaraja ya vichocholoni engineer na mkandarasi anatoka China wakati huohuo JF mada zimepamba moto GPA,majina ya vyuo, etc. Tooth picks made in China but materials from Tabora(Mninga&Miyombo trees?
.

Em niishie hapa nisijetafutwa na Sheria ya mitandao

Si ndo hawa hawa wanatunga sheria kandamizi za mitandao. Fisadi anafyeka majani hospitali afu aliewasemea neno anafungwa ili awe mfano #smh
 
UDSM waangusha Punch naona wanateuliwa sasa sijui wataunga mkono fikra za mwenyekiti na kusimamia kile walichokuwa wanakiamini au ndio watakua waunga mkono hoja washazibwa midomo.
 
UDSM ndio chuo bora Tanzania

Hata shule ya mwisho kitaifa kulikuwa na mwanafafunzi wa kwanza na alionekana bora lakini mwisho wa siku.....
Ukisema UDSM ni bora kwa mchepuo wa masomo ya Siasa hapo ninakubaliana na wewe, lakini Graduates wa Nelson Mandela Arusha na UDSM wa Tekinologia ya habari na mawasiliano ni nini tofauti yao?
Ubora upi unazungumzia? Quality is measured by final products.
Tusilete mambo ya Yanga na Simba kwenye vitu vya msingi, kelele nyingi kwenye vyombo vya habari lakini inapofika mahari pa kuonesha huo ubora wanaodai wanao inakuwa aibu.
Admitting a problem is a good sign of arriving at the solution.
 
Ninaposema UDSM nina maana ya ubora wa kila kitu ,Science & Technology,medical ,Finance, Etc Relax just my opinion
 
For what output in science and technology kwa mfano tu?
The only difference is inborn ability tu which makes and nothing special. Mawazo yako kama ilivyokuwa zamani kwa private schools ukilinganisha na government schools which is the opposite by now.
 
Kuna kaushahidi ka mbaali kuwa viongozi wengi wanaoteuliwa katika nafasi mbalimbali serikalini, walisoma ama wamefanya kazi katika Chuo Kikuu Cha Dar es salam (UDSM)!!!

Swali ni je, hadi leo vyuo vingine haviwezi kupatikana hao viongozi na badala yake kuchukuliwa UDSM pekee?

Navyohisi ni kwamba kuna maeneo mengine kuna watu wana sifa zaidi ya UDSM peke yake tu.
UDSM ni multiple discipline college, ranging from Engineering, Natural Sciences, IT, Finance, Political Science, Economics, Sociology etc etc. Ina watalaam matured. Vyuo vingine wajitahidi they will come to that stage after a while
 
Ni mfumo na mazoea yetu mabaya ya kuangalia "Uzoefu" (Experience) badala ya "Utendaji" (Merit). Kwa hiyo wengi wanaoteuliwa wakati huu ni wale wa zamani ambao wamebakisha miaka michache tu kustaafu yaani wako karibu kabisa kuingia kundi la baby boomers. Hawa lazima wawe wamesoma UDSM kwani ndicho kilichokuwa chuo pekee kwa wakati huo. Tukiwaambia mfumo mbovu, muwe mnatuelewaga......
 
UDSM ni multiple discipline college, ranging from Engineering, Natural Sciences, IT, Finance, Political Science, Economics, Sociology etc etc. Ina watalaam matured. Vyuo vingine wajitahidi they will come to that stage after a while
tuseme mfano Ally Salum Hepi hawezi kupatikana mtu kama huyo sehemu ama chuo kingine tofauti na graduants wa UDSM?
 
Dunia nzima kuna vyuo vinavyojulikana kwa kuzalisha viongozi.Uliza vyuo vingine toka vianzishawe vimezalisha viongozi wa ndani na nje ya nchi wangapi ambao ni wakuu?

Chuo kikuu cha Dar es salaam kimezalisha maraisi sio wa Tanzania tu bali na nchi za nje kibao

pia angalia walimu.CHUO KIKUU cha Dar es salaam mwalimu ni wenye PHD na PROFFESSORS
Vyuo vingine wanavumiliwa tu.

Chuo kikuu kama cha Dar es salaam TUTORIAL ASSISTANT kazi yake wala si kufundisha ni kubeba na kufunga projector kwa ajili ya lecturer na proffessor kushusha nondo zao wakati vyuo vingine utakuta ni mwalimu anafundisha wanafunzi wa mwaka wa mwisho wa digrii.

Pass mark za kuingia CHUO KIKUU CHA Dar es salaam ni za juu kuliko chuo chochote.Ina maana ni chuo kama cha watu vipaji maalum

Hakuna chuo chenye maprofesa wengi na ma-Doctor wengi kama chuo kikuu cha Dar es salaam.Na wamewekwa waandae viongozi.Nenda vyuo vya HAVARD,OXFORD,YALE,MIT vyote kazi yao kuandaa viongozi tena wengine wa dunia nzima
mkuu umenichekesha sana. yaani umeamua kuwapa makavu live? siku ingine uwe na simile watu wataogopa kuanzisha thread humu. hahahaaaaaa.
 
Kuna kaushahidi ka mbaali kuwa viongozi wengi wanaoteuliwa katika nafasi mbalimbali serikalini, walisoma ama wamefanya kazi katika Chuo Kikuu Cha Dar es salam (UDSM)!!!

Swali ni je, hadi leo vyuo vingine haviwezi kupatikana hao viongozi na badala yake kuchukuliwa UDSM pekee?

Navyohisi ni kwamba kuna maeneo mengine kuna watu wana sifa zaidi ya UDSM peke yake tu.
nasikia makonda kasoma chuo cha ushirika moshi. kwa hiyo usijali na wa vyuo vingine wapo.
 
Sababu wako karibu na mjini....wako Dar...wako ikulu...a.k.a wana daresalamu...kwi kwi kwi...
Ila ukweli ni kwamba UD wanapenda sana siasa...na bila kuwa mwanasiasa kupata cheo ni kuokota embe chini ya mwarobaini...
Mzumbe wanapiga kimya kimya...ma RAS, wakurugenzi wa mawizara hasa HR wengi ni product za Mzumbe...wao wanachukua vyeo ambavyo ni professional...Unajua kuwa hata Balozi Sefue ni Product ya Mzumbe????
Ulishawai sikia Mzumbe wanagoma?...hawana siasa hao
Wao ni KAZI TU
Hii ni kweli UDSM ni chuo kinachozalisha viongozi wenye hulka ya ufisadi na majigambo.
 
Back
Top Bottom