masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Duh!!!Naibu waziri wa Fedha
Naibu waziri wa kazi/ ajira
Katibu mkuu mawasiliano
Katibu mkuu habari
naibu katibu mkuu elimu
CEO loan board
Hao niliowataja hapo juu (ukiacha naibu waziri wa kazi/ ajira wengine aliyesoma MU) wote ni lecturers wa MU na wameteuliwa mwaka huu na Magufuli.
Angalia wakurugenzi wengi wizarani na halmashauri wamesoma wapi, HRs, Treasurer, Economists...
Hizo nafasi za kisiasa za ukuu wa mikoa na wilaya zinawafaa nyie products za UDSM maana ndio mnajua blahblah
Tumeibiwa!!!!