Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,471
Watu wa Usalama wa tanzania lipo jambo la kujifunza hapa.Jamaa kamgomea Rais Trump kukaa na kagoma kutoka nje.Lakini hajapigwa wala kuzalilishwa.
Unadhani ingekuwa ni Tanzania nini kingempata huyu mwandishi?
Kwa nini husemi nchi nyingine kama korea kaskazini???