Video: Mpiganaji wa ISIS alipukiwa na bomu kabla kuwafikia walengwa

Kama kumsujudia Mungu hatukuanza sisi hata biblia hata Yesu alisujudu kama kama unapinga hilo ina maana unapingana na maandiko
We ustadh acha zako bas nipe andiko linalosema yesu kristo wa nazareth alikamuliwa ngama na unipe ni lin yesu krsto alimuponda mawe ibilis
 
Niwaulize Waislamu wamewakosea nini wakristo wa Tanzania? Kama wa kujilipua wanajilipua kwa mambo yao na hao walipuaji ukitizama idadi ya wanauliwa na walipuaji Waislamu ni wengi zaidi kama ilivyo tokea siku hizi za karibuni huko Iraq na pakistani zaidi ya Waislamu 100 wameuliwa na hao wanaojiita "waislamu" povu lisiwatoke bure muelewe hao si Waislamu. Kama mumepata sababu ya kuutukana uislamu dini za majirani zenu wenzenu wa TZ . Kumbe mna chuki sana na hawa "ndugu waislamu"
Abui hebu tulize nafis ustadh wangu hakuna mkristo mwenye chuki na uisilamu hata mmoja lakin sisi tunamushangaa mungu wenu allah ambaye kawaandalia mabikira 72

Mungu gani mwenye kuwaza ngono na kuwaahidi waja wake mito ya pombe
 
Kama kumsujudia Mungu hatukuanza sisi hata biblia hata Yesu alisujudu kama kama unapinga hilo ina maana unapingana na maandiko
Yesu hajawahi kusema anapulizwa, kama unao uwezo leta ushahidi.

Mnapenda kumhusisha Yesu na mambo yenu ya kipuuzi.
 
Niwaulize Waislamu wamewakosea nini wakristo wa Tanzania? Kama wa kujilipua wanajilipua kwa mambo yao na hao walipuaji ukitizama idadi ya wanauliwa na walipuaji Waislamu ni wengi zaidi kama ilivyo tokea siku hizi za karibuni huko Iraq na pakistani zaidi ya Waislamu 100 wameuliwa na hao wanaojiita "waislamu" povu lisiwatoke bure muelewe hao si Waislamu. Kama mumepata sababu ya kuutukana uislamu dini za majirani zenu wenzenu wa TZ . Kumbe mna chuki sana na hawa "ndugu waislamu"
Kama ilivyo kanuni ya karma.

Ukila nyama ya mtu ipo siku utajila mwenyewe.

Hakuna mkristo anayechukia muislam/uislam mtaje hapa ukiweza.
 
WaTZ ni wanafiki wakubwa. Leo hii mijiarabu yakijilipua wakristo wa TZ wanasherehekea kwa kuwatukana Waislamu wa TZ. Hii kali.
Kwa sababu unawakataa ndugu zako, ambao wanaijua dini zaidi yako, wewe muislam wa maulid na arobaini za kutoa watoto.
 
Hapa bhana huyu inaonyesha kakanyaga hilo bomu wala hajajilipua soma picha vizuri mkuu
 
1. Video inakosa justification ya kuwa yule ni muhanga maana baada ya kutokea ukutani tu akalipukiwa na bomu.
2. Kwa jinsi moto/mlipuko ulivyotokea ni kama bomu ulikuwa limeshikwa au kutegwa aridhini alafu jamaa akalikanyaga na kulipuka.
Labda kama hao waliokuwa hapo pembeni walikuwa wakiongea hiko kiarabu walikuwa wakimaanisha kuwa huyo ni muhanga.
 
Nasikia usipofikia lengo la mission uliyopewa huwa ukifa unakabidhiwa kwa mabasha wenyw vufua vipana na vinyweleo vingi sana vya kifuani, na wenye mikono yenye malengelenge kama ya mkulima wa jembe LA mkono.
 
Back
Top Bottom