Video: Mpiganaji wa ISIS alipukiwa na bomu kabla kuwafikia walengwa

Mbona huna adabu kaka papa kaingia kivip hapa tena hapa
Na Uislam unaingizwa vipi na hawa washenzi wa kujitoa muhanga? Na hata kama dini yao wanadai ni "uislam" na wala haingii akilini kuwa eti kuna mafundisho kama hayo katika dini yoyote ile. Lakini mnapenda kuushirikisha Uislam na mambo hayo.
 
Hao wanaitwa waenda peponi wameondolewa ufahamu walipandikiziwa mabomu kichwa ni,hawajui hata malengo ya kuanzishwa Kwa Makundi hayo zaid ya viongozi wao, wapo kwa lengo La kuuchafua uislamu
 
Na Uislam unaingizwa vipi na hawa washenzi wa kujitoa muhanga? Na hata kama dini yao wanadai ni "uislam" na wala haingii akilini kuwa eti kuna mafundisho kama hayo katika dini yoyote ile. Lakini mnapenda kuushirikisha Uislam na mambo hayo.

Kawaulize mbona wanalipuka kwa ajili ya allah, wote hukariri vifungu kabla ya kulipuka, sasa sisi unatuzingua bure maana sisi wenyewe watazamaji tu.
Tatizo hakuna hata mmoja anajilipua kwa kutumia dini nyingine yoyote duniani, wote wanasema ni waislamu na wanampigania mungu wao na wapo kila mahali duniani hadi Trump amesema hataki mazombi tena kwake.
 
Tatizo hilo mnapoaminishwa hivyo kuwa eti ni Waislamu. Wanajilipua na kuua wasio na hatia. Wanajilipua kwa sababu zao wenyewe na Allah hajasema. Si kuzungui mnazunguliwa na walio wazungua ni wazungu endeleeni tu kuaminishwa hivyo na ndivyo wanavyotaka na sababu kuu ni Uislamu kupinga ustaarabu wa kimagharibi walianza na ukomunisti wameshinda lakini kwenye imani ni bure tu.
 
Sasa mbona hao wazungu hawajilipui kwao, iwe nyie ndio mnalipuka lipuka kwa misingi ya kidini. Ingekua watu wa nchi moja au mbili ningekubali kwamba ni propaganda za kiaina, lakini hawa mazombi walipukaji wanatokea nchi nyingi sana duniani na wote wanaunganishwa na kitu kimoja, dini moja..... common denominator

Hata Tanzania, kuna mmoja Mpare kajiingiza kwa haya mambo halafu akaogopa kujilipua pale Garissa, Kenya.
Ukiangalia Somalia wote dini moja lakini nchi haikaliki, watu wanajilipua kama njugu karanga.
 
Never argue with fools especially africans
 
Na Uislam unaingizwa vipi na hawa washenzi wa kujitoa muhanga? Na hata kama dini yao wanadai ni "uislam" na wala haingii akilini kuwa eti kuna mafundisho kama hayo katika dini yoyote ile. Lakini mnapenda kuushirikisha Uislam na mambo hayo.
Kwani wewe hujui kama ukiua makafiri unakuta allah kakuandalia mabikira 72 au wewe ni mwisilamu ubwabwa hujui chochote
 
Tatizo hilo mnapoaminishwa hivyo kuwa eti ni Waislamu. Wanajilipua na kuua wasio na hatia. Wanajilipua kwa sababu zao wenyewe na Allah hajasema. Si kuzungui mnazunguliwa na walio wazungua ni wazungu endeleeni tu kuaminishwa hivyo na ndivyo wanavyotaka na sababu kuu ni Uislamu kupinga ustaarabu wa kimagharibi walianza na ukomunisti wameshinda lakini kwenye imani ni bure tu.
Kwahiyo huyo jamaa aliyejilipua hapo ni mzungu au akili yako haiko sawa
 
Kwani wewe hujui kama ukiua makafiri unakuta allah kakuandalia mabikira 72 au wewe ni mwisilamu ubwabwa hujui chochote
Na hao wazungu waliowauwa waumini weusi wa kikristo ndani ya kanisa wao wanapewa nini? Eti ni kweli bwana anawaandalia mashoga wakustarehe nao. Ikiwa Waislamu wanapewa mabikra 72. Na mafundisho ya bwana yanadai nao wamewaandali mashoga mukule tigo.
 
Kawaulize mbona wanalipuka kwa ajili ya allah, wote hukariri vifungu kabla ya kulipuka, sasa sisi unatuzingua bure maana sisi wenyewe watazamaji tu.
Tatizo hakuna hata mmoja anajilipua kwa kutumia dini nyingine yoyote duniani, wote wanasema ni waislamu na wanampigania mungu wao na wapo kila mahali duniani hadi Trump amesema hataki mazombi tena kwake.
Hivi mkuu MK254
Samahani kidogo hivi unaweza ukawa unajua maana ya Allah wakbaru coz naonaga kabla hawajajilipua wanaongeaga hilo neno.
Ni nini hiyo wanaongeaga?
 
Kwahiyo huyo jamaa aliyejilipua hapo ni mzungu au akili yako haiko sawa
Aliejilipua ni muarabu gaidi. Hana Uislamu tatizo lenu wakristo wa Tanzania mna udini na mnawachukia Waislamu na Uislamu nauliza wamewakosea nini???
 
They are Arabs and not muslims and there are arabs who christians. And what race is the origin of your religion?? If you have one
 
Hivi mkuu MK254
Samahani kidogo hivi unaweza ukawa unajua maana ya Allah wakbaru coz naonaga kabla hawajajilipua wanaongeaga hilo neno.
Ni nini hiyo wanaongeaga?

Hehehe! Kuna jamaa wameanza video za vichekesho, kwamba wanakwenda penye watu na kufoka allah akbar, yaani kila mtu anaishia kutimka mbio za kufa mtu.
Hebu check hii video
 
Hahahaha,
Dini imetumika vibaya hapa sasa jamaa wanakataa ulweli
Lkn ukweli ndiyo huo, na dunia sasa inajua gaidi ni mtu huyu.

Ni kupigana na hawa watu kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom