Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,675
- 901
Taja ibara gani ya katiba inasema Bunge lazima liwe live?Tahira mwingine ni wewe..... Jingaest kabisa....
Taja ibara gani ya katiba inasema Bunge lazima liwe live?Tahira mwingine ni wewe..... Jingaest kabisa....
Hata wewekenge yupi ? maana wewe ndo unasitahili kuitwa kenge
Nani haangalii!? Tunaona na hawaonyeshi sessions zote live isipokuwa kipindi cha maswali na majibu tu, acha uongo kabisa, na marekani ni CH gani ya bunge live mwanzo mwisho ?Mkuu nakuomba uwe unaangalia BBC two!
Ungehusisha akili yako kidogo tu usingethubutu kuandika hayo,kwahiyo bunge kutokua live ndio maendeleo yatakuja!!Acha ujinga wewe, Mbowe ameleta hotuba uharo bungeni, hebu fuatilia mchango wa Zitto Kabwe linganisha na"wazee wa live" uone nani ana akili. Akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, endeleeni kuimba wimbo wa live na mzungushe sana mikono muone kama maendeleo yatakuja.
Na uhakika elimu yako ht form four yako ni ya mashaka sana hlf pia we ni mkimbiziIla elf 7 kipindi hiki cha Magufuli ningumu sana kuipata inatakiwa utumike kweli kweli sasa kwa hiki ulichoandika sina hakika kama siku itakuwa imeingia Enzi...ya mkwere muda huu ungekuwa unarukaruka kama Ndama
Dalili za MTU alieshindwa hoja ndio kama hizo ulizoandika Keisha habari yako....Ukweli nikwamba ili upate elf,7 kwenye CCM ya MAGUFULI lazima umaanishe sio blah blah mlikuwa mnafanya kwa mkwere!,,,,mi nakushauri jambo la maana ili usife Njaa...shauri yako!Na uhakika elimu yako ht form four yako ni ya mashaka sana hlf pia we ni mkimbizi
Taja ibara inayosema kurusha Bunge live ni gharama...Taja ibara gani ya katiba inasema Bunge lazima liwe live?
Dah!Wataelewa badae sana ndugu .Kiukweli Wabunge wa CCM wanakosea sana
Na wale wanao shabikia pia wanakosea sana
Duu umeenda mbali sana mkuu try to thing wisely.Kumbuka Fumbo mfumbue mjinga........anataka uhuru wa kutukana na kudhalilisha watu mitandaoni kama anavyofanyaga watu mnaomfuatilia huyo mtukanaji mtakuwa na nyie mnamatatizo ya akili
Si siku zote mtu anaongea pumba anachoongea kina sense only for those who understand na si kwa faida yake tu it is for all si wanasema zama za uwazi na uwajibikaji jamaniHuyo mangi kimanga ana akili isiyo na akili kabisa! Anyway imekula kwake; tumuache aisome namba!
tai ....ra ewew.Acha ujinga wewe, Mbowe ameleta hotuba uharo bungeni, hebu fuatilia mchango wa Zitto Kabwe linganisha na"wazee wa live" uone nani ana akili. Akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, endeleeni kuimba wimbo wa live na mzungushe sana mikono muone kama maendeleo yatakuja.
Hata saa mbovu kuna muda inasoma majira ya kweli.
Yego mmla wasu yani echalo chinu bhasi la gi