VIDEO: Kijana Omar Ramadhani, amuombea Rais Magufuli viwanja vya Sabasaba

hana lolote zaidi ya usanii tu hebu tuelezeni ni lipi lamaana alilofanya zaidi ya ubabe
 
Huyo kijana wa ukawa...hana wivu na roho mbaya wala uswahili kama maCCM...peace maker in action...polisi mjue CCM ndo incubators wa fujo na wizi nchi hii,,,tumikie wananchi badala ya siasa za ki CCM
 
Ilikuwa haina umuhimu wa kupost hivi vimbwanga!

Lumumba kwa kupenda sifa.

Kuna kamanda humu juzi kabandika picha ya Lowassa akiwa Nairobi akipigiwa salute. Kwa Makamanda ilikuwa habari kuu. Ila bandiko la mtanzania akimsifia rais wake ni nongwa.

BAVICHA Mmechanganyikiwa
 
Uyu kijana lazima aukwae uDC au uDAS,nawaonea huruma kina
Lizaboni
Motochini
Jingalao
Barborosa
Ritz
Yehodaya
Rutashobolwa
Kwa kunyang'anywa nafasi wanazopigania.
 
magufuli1.jpg

Tanzanian President, John Magufuli has called a man who was shouting while giving Dr.Magufuli congratulations concerning what he is doing in putting a government at good time, after hearing what he said, he called him to take a pic with him, without believing what's happening a man who was introducing himself as Omary Abdallah Ramadhan started to thank Mr. Magufuli and finally he gave out Duah to him. Hivi huyu jamaa ana ukereketwa wa dhati au lengo ni kupata Kiki?
See the Video below;
Read: "Karibu sana Mkwe wangu...",RC Paul Makonda Welcomes Diamond Platnumz’s Baby Mama, Zari


SOURCE:BONGO YETU BLOG
 
Kijana kakosea hajaacha details zake au hata contact, Anaweza kuvaa cheo. Maana mtukufu anapenda kuombewa, Anaweza kumlipa fadhila.
 
Back
Top Bottom