VIDEO: Kijana Omar Ramadhani, amuombea Rais Magufuli viwanja vya Sabasaba

Vijana wa Lumumba's likiwafika shingoni mnakimbilia rais huyo jamaa alitumia mbinu ndogo tu ya kutoa sifa. Tu akafanikiwa kumfikia
Pale Rais ampungie mkono tu ingetosha
Kuliko kukubali kuja kuombewa
Tena dua za watu wa chini ndio zinakubalika sana
 
Mtaamini maneno yangu kuwa baba nanii kwa sifa hajambo, ingekuwa kinyume chake je?

Sisi Watanzania Ni ndugu, yangeanza mambo ya kuchangiana tena Kaka, tafadhali hali so nzuri mda huu kuchangiana fine so rahisi
 
Jpm ameshika watu wa lika lote ni mtumishi wa kweli wa watanzania tumuunge mkono atalipeleka mbele taifa letu.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
kijana ana utashi na anaelewa mambo yanavyoenda.....Rais anapata moyo pia kupata feedback kama hizi kutoka kwa wananchi wa kawaida.
Sahihi kabisa jpm anafarijika sana na kuongeza bidii za kuwatumikia watanzania kwa moyo wa dhati kabisa.
 
Sawa ila wanafiki ni wengi
Kwa busara iwe kheri tu
Maana chuki zimezidi miongoni mwetu
Hatuna upendo
Sahihi kabisa. Yaani wakiona Gwajima anamuombea Lowasa meno yote 32 nje. Ila wananchi wa kawaida wakimuombea Rais wananuna
 
Utafiti unaonesha, Kila baada ya Dakika tano Magufuli analitukuza jina la bwana. Hapana shaka dua hizo zina baraka za Mungu.
ya KAISARI tumuachie KAUSARI
Na ya MUNGU apewa yaliyo yake ndugu
Tuombe YEHOVA amzidishie hekima na busara
 
Hii hata rais mwenyew anasikia faraja yakuwa anayoyafanya wananchi tupo nyuma yake na tunamuunga mkono ...hawa vijana wa bavicha kazi yao kuropoka lakin wakirudi nyumban kwao wazazi wao wanamkubali magu
 
Back
Top Bottom