Uchaguzi 2020 VIDEO: Dkt. Magufuli arejea Makao Makuu ya nchi Dodoma, aserebuka wimbo wa Zuchu mbele ya wananchi

Akate tu viuno ndio alicho bakiwa nacho. Maana vingine vyote hana.
Sera hana, mvuto hana. Akili pia hana, Watu nao hana, mpaka awanunue.. Mwache ajikatie tamaa..
Si afadhali yeye anaweza hata kukata viuno, kamanda msaliti alijaribu mahali fulani akaporomooka jukwaani!
 
Ndg watanzania
hao wasanii mnaoletewa kweny kampen za ccm tambua kuwa ndio sera zao hizo zimeishia hapo na hata uendeshaji wao wa nchi utakuwa wa kisanii hivyohivyo.
shangilien sn mkiyafhm hayo msije sema hamkujuzwa.
angalia kwa nn rais wa wanyonge awapige machinga elfu 20 ya vitambulisho makusudi wanyonge wake!!!!??
ntarud...
 
Watz wapi unaongea nao ukiwa huko ukibeba mabox!!?
 
Hoja hamna, naona picha zaonesha kampeni imemmaliza mwili mgombea wa CCM, John Magufuli amepungua sana pamoja ya kuwa ni rais lakini haisaidii kweli kampeni hii ya 2020 ni ngumu.

Vipi hiki chama kongwe kukosa sera za kuwaambia wananchi na kuishi kupiga Muziki huko kote alipopita mgombea John Magufuli wa CCM.
Kweli ukiwa mpinzani huoni wala husikii

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hoja hamna, naona picha zaonesha kampeni imemmaliza mwili mgombea wa CCM, John Magufuli amepungua sana pamoja ya kuwa ni rais lakini haisaidii kweli kampeni hii ya 2020 ni ngumu.

Vipi hiki chama kongwe kukosa sera za kuwaambia wananchi na kuishi kupiga Muziki huko kote alipopita mgombea John Magufuli wa CCM.

CCM hawana jipya.. watu wamesha wachoka... Hawana sera zaidi ya usanii, uongo na kuwa hadaa raia..
 
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa.

Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa' uliombwa na msanii Zuchu ukipongeza juhudi zake alizozifanya kama Rais na chama chake cha Mapinduzi kuibadilisha Tanzania.

Kwani Magufuli ataapishwa lini?
 
Kura yako tunaiomba ndugu tuijenge Tanzania yetu! Mpe jembe Magu hizo ndoto utaziona! Kuwa sehemu ya kutimiza hizo ndoto zako ndugu usisubiri mpaka ss tuzitimize ndo utuunge mkono! Naamini nimekuomba kura kwa staha ndugu yetu au siyo🙏!

Unaomba kura kistaarabu baada ya kuona Tume Haina msaada ktk kuchakachua matokeo... Kwa sera za TAL hadi baadhi ya polisi wameshaanza kuwa upande wake...

Chuma kimerudi Makao Makuu ya Chama na Serikali kwa Mapumziko Mafupi kabla ya kuanza Kampeni raundi ya 3.
Amepiga raundi ya pili kwa kishindo na ushindi Mkubwa mno.
Tukutane 28 October tuwanyooshe 🔥🔥🔥

Kwahiyo amerudisha majeshi nyuma kujipanga upya?
Ameona Mambo magumu ameamua kurudisha mpira kwa kipa ili mjipange!!! Bahati mbaya Ile kurudisha mpira kwa kipa mnajifunga goli wenyewe...
 
Hoja hamna, naona picha zaonesha kampeni imemmaliza mwili mgombea wa CCM, John Magufuli amepungua sana pamoja ya kuwa ni rais lakini haisaidii kweli kampeni hii ya 2020 ni ngumu.

Vipi hiki chama kongwe kukosa sera za kuwaambia wananchi na kuishi kupiga Muziki huko kote alipopita mgombea John Magufuli wa CCM.

Nauombea Afya njema Rais wangu, na pia Raisi wangu wa awamu ya 5 katika muhula wake wa Pili. Hoja ya kuwa anaonyesha amepungua mwili kwangu mie naiona umeenda zaidi ya Imani zetu zinavyotutaka tuzisemee siha zetu na wengine 'usizungumzie ubora wa afya yako mbele ya mgonjwa'au 'uzao wako mbele ya mgumba'!. Je ni nani aijuaye kesho yake hata apate ujasiri wa kumsemea mwezie leo yake?. Wengi wetu safari ya kutoka Dar Iringa tu tunafikia Phamacy kuchukua Mifupen/au Dawa tatu ndu tuupate usingizi, na kesho yake hatutoki ndani, je JPM amesafiri Kms ngapi kwa muda huu mfupi? Je una uwezo huo?.
 
Attachments

  • ce895f31df142950313f4694cf72b811.jpg
    ce895f31df142950313f4694cf72b811.jpg
    8.2 KB · Views: 2
Ni Rais atumie akili asipende kujionyesha kwa wanyonge kwa misururu mirefu ya magari anapoingia mjini kwenye watu wengi na magari ya shughuli mengi. Msafara wake ukikaribia jiji, ahamie kwenye Chopa impeleke mpaka kwenye jiwe lake Ikulu magari mia ya msafara wake yaingie jijini polepole kila moja kwa wakati wake. Wakazi watajua tu Rais amerudi maana toka Uhuru, ni misafara yake pekee yenye Chopa.
Sitaki kupinga wazo lako,ingawa hiyo hoja ya kusema magari mengine ya msafara wake,kila moja liingie town kwa muda wake haiko sawa kiusalama.
Pengine haujui yale magari mengi kwenye msafara yana kazi gani,yamebeba nini. Ni ngumu Sana kufanya hivyo, ziara ikiwa Ni ya magari, haiwezi kuwa switched kuwa ziara ya Choppa kiurahisi Kama unavyodhani .
 
Wapinzani wana edit picha zao. Huku mgombea urais kwa tiketi ya Ccm ana chezeshwa miziki ya kipuuzi na wasio jua kusoma na kuandika. Shikamoo TL.. Shikamoo Chadema. Jamaa pumzi ina kata..
Hawajui kusoma na kuandika bali wanakipaji cha utunzi wa nyimbo.
 
Hawana level ya kumpigisha kiongozi wa kitifa kupiga magoti jukwaani. Urais ni heshima ya juu kwenye nchi.. Sio kipaji bali ni kiongozi mkuubwa Taifa.
Acha zako chief, hiyo ni sanaa. Cha msingi upate furaha tu. Hebu jaribu kufuatilia kampeni za akina Obama au akina Hilary Clinton utapata majibu ya maswali yako.
 
Back
Top Bottom