Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme wa magari anajikuta amechaguliwa course ya plumbing na wakijaribu kuomba ufafanuzi wanajikuta wakifokewa na kuambiwa waombe tena mwakani.
Hii si sawa kumlazimisha kijana asomee kitu ambacho hakuchagua
Hii si sawa kumlazimisha kijana asomee kitu ambacho hakuchagua