mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME OPEN TO TANZANIANS!
Umoja wa Mataifa Umetoa nafasi za ajira kufanya kazi kama watumishi katika Secretariat ya UN. Kutakuwa na mitihani ya kuingia.
Mwaka huu umoja huo umetoa nafasi zaidi ya 1500 na sehemu ya watumishi wanaotakiwa sana ni watanzania.
Kuna vigezo vikuu VITATU; Kigezo cha kwanza NI LAZIMA UWE UNA ANGALAU LEVEL YA DEGREE WAKATI HUU UNAOOMBA, pili USIWE UMEZIDI MIAKA 32 MPAKA KUFIKIA TAREHE 15 MWEZI DISEMBA! Tatu UWE VEMA SANA KATIKA UANDIKAJI NA UZUNGUMZAJI WA AMA KINGEREZA AMA KIFARANSA!
Unachopaswa kufanya ni kutembelea ukurasa wa UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME fuata maelekezo yaliyopo pale. Utaandaa PHP Personal History Profile au CV kwa maana nyingine utaapply!
Tembelea https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=NCE&lang=en-US nafasi hizi zipo wazi kuanzia MAY HADI DECEMBER katika maeneo 6 tofauti kama ifuatavyo:
MAY-JULY: Administration and Finance.
JULY-OCTOBER: Legal Affairs and Public Information.
OCTOBER-DECEMBER: Social Affairs and Statistics.
Muombaji anapaswa kuomba MARA MOJA TU!
MITIHANI YA MCHUJO ITAFANYIKA CHUO CHA DIPLOMASIA KURASINI tarehe 15 December 2015!