Vacancy UN

mkulima maskini

JF-Expert Member
May 3, 2015
254
50
UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME OPEN TO TANZANIANS!

Umoja wa Mataifa Umetoa nafasi za ajira kufanya kazi kama watumishi katika Secretariat ya UN. Kutakuwa na mitihani ya kuingia.

Mwaka huu umoja huo umetoa nafasi zaidi ya 1500 na sehemu ya watumishi wanaotakiwa sana ni watanzania.

Kuna vigezo vikuu VITATU; Kigezo cha kwanza NI LAZIMA UWE UNA ANGALAU LEVEL YA DEGREE WAKATI HUU UNAOOMBA, pili USIWE UMEZIDI MIAKA 32 MPAKA KUFIKIA TAREHE 15 MWEZI DISEMBA! Tatu UWE VEMA SANA KATIKA UANDIKAJI NA UZUNGUMZAJI WA AMA KINGEREZA AMA KIFARANSA!

Unachopaswa kufanya ni kutembelea ukurasa wa UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME fuata maelekezo yaliyopo pale. Utaandaa PHP Personal History Profile au CV kwa maana nyingine utaapply!

Tembelea https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=NCE&lang=en-US nafasi hizi zipo wazi kuanzia MAY HADI DECEMBER katika maeneo 6 tofauti kama ifuatavyo:

MAY-JULY: Administration and Finance.

JULY-OCTOBER: Legal Affairs and Public Information.

OCTOBER-DECEMBER: Social Affairs and Statistics.

Muombaji anapaswa kuomba MARA MOJA TU!

MITIHANI YA MCHUJO ITAFANYIKA CHUO CHA DIPLOMASIA KURASINI tarehe 15 December 2015!
 
Kumbe hata Tanzania kuna centre ya kufanyia 2013 walitoa pia lakini ilionekana centre ni nairobi, na pia ypp ina criterias ambapo moja wapo ni kua hua inahitaji watu wenye least UN representation na pia hua wanatoa list ya participating countries sidhani kama Tanzania ni moja wapo maana 2013 hicho ndo kilinkkwamisha na nadhani mwaka huu Tanzania sio amongst the participants.

point of correction mwaka huu Tanzania ni amongst the participants
 
Ujanja wenye tija!
 
Thank you for the information it is of a great help to people who are in need of such opportunities.
 
UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME OPEN TO TANZANIANS!

Umoja wa Mataifa Umetoa nafasi za ajira kufanya kazi kama watumishi katika Secretariat ya UN. Kutakuwa na mitihani ya kuingia.

Mwaka huu umoja huo umetoa nafasi zaidi ya 1500 na sehemu ya watumishi wanaotakiwa sana ni watanzania.

Kuna vigezo vikuu VITATU; Kigezo cha kwanza NI LAZIMA UWE UNA ANGALAU LEVEL YA DEGREE WAKATI HUU UNAOOMBA, pili USIWE UMEZIDI MIAKA 32 MPAKA KUFIKIA TAREHE 15 MWEZI DISEMBA! Tatu UWE VEMA SANA KATIKA UANDIKAJI NA UZUNGUMZAJI WA AMA KINGEREZA AMA KIFARANSA!

Unachopaswa kufanya ni kutembelea ukurasa wa UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME fuata maelekezo yaliyopo pale. Utaandaa PHP Personal History Profile au CV kwa maana nyingine utaapply!

Tembelea https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=NCE&lang=en-US nafasi hizi zipo wazi kuanzia MAY HADI DECEMBER katika maeneo 6 tofauti kama ifuatavyo:

MAY-JULY: Administration and Finance.

JULY-OCTOBER: Legal Affairs and Public Information.

OCTOBER-DECEMBER: Social Affairs and Statistics.

Muombaji anapaswa kuomba MARA MOJA TU!

MITIHANI YA MCHUJO ITAFANYIKA CHUO CHA DIPLOMASIA KURASINI tarehe 15 December 2015!

Mbona wameandika exam center ni dodoma
 
Samahani,umejuaje centre ni Kurasini? Mie wamenijulisha lakini wamesema centre ni Dar,hawajataja exact location.

UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME OPEN TO TANZANIANS!

Umoja wa Mataifa Umetoa nafasi za ajira kufanya kazi kama watumishi katika Secretariat ya UN. Kutakuwa na mitihani ya kuingia.

Mwaka huu umoja huo umetoa nafasi zaidi ya 1500 na sehemu ya watumishi wanaotakiwa sana ni watanzania.

Kuna vigezo vikuu VITATU; Kigezo cha kwanza NI LAZIMA UWE UNA ANGALAU LEVEL YA DEGREE WAKATI HUU UNAOOMBA, pili USIWE UMEZIDI MIAKA 32 MPAKA KUFIKIA TAREHE 15 MWEZI DISEMBA! Tatu UWE VEMA SANA KATIKA UANDIKAJI NA UZUNGUMZAJI WA AMA KINGEREZA AMA KIFARANSA!

Unachopaswa kufanya ni kutembelea ukurasa wa UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME fuata maelekezo yaliyopo pale. Utaandaa PHP Personal History Profile au CV kwa maana nyingine utaapply!

Tembelea https://careers.un.org/lbw/home.aspx?viewtype=NCE&lang=en-US nafasi hizi zipo wazi kuanzia MAY HADI DECEMBER katika maeneo 6 tofauti kama ifuatavyo:

MAY-JULY: Administration and Finance.

JULY-OCTOBER: Legal Affairs and Public Information.

OCTOBER-DECEMBER: Social Affairs and Statistics.

Muombaji anapaswa kuomba MARA MOJA TU!

MITIHANI YA MCHUJO ITAFANYIKA CHUO CHA DIPLOMASIA KURASINI tarehe 15 December 2015!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom