Themann JF-Expert Member Apr 15, 2022 3,842 16,042 Oct 15, 2024 #34,643 Wakuu kwema. Attachments PXL_20241014_185406862.jpg 992.3 KB · Views: 6 PXL_20241014_121106810.jpg 344.9 KB · Views: 4 PXL_20241013_183559843.jpg 638.5 KB · Views: 5
whitemoney JF-Expert Member Nov 9, 2023 1,123 2,396 Oct 16, 2024 #34,652 Mshana Jr said: View attachment 3126212 Click to expand... Itabidi one day nitembelee maeneo wanapopatikana hawa wadudu Mbona kama mnatutisha sana kaka..!!
Mshana Jr said: View attachment 3126212 Click to expand... Itabidi one day nitembelee maeneo wanapopatikana hawa wadudu Mbona kama mnatutisha sana kaka..!!
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 22,106 40,240 Oct 16, 2024 #34,654 Swahili AI said: View attachment 3127055 VS View attachment 3127058 Click to expand... Huo ugali wenye mboga ya majani pembeni ndo wenyewe....😋😋😋😋. Hapo ntabakisha sahani tuu aahaha 🤪.
Swahili AI said: View attachment 3127055 VS View attachment 3127058 Click to expand... Huo ugali wenye mboga ya majani pembeni ndo wenyewe....😋😋😋😋. Hapo ntabakisha sahani tuu aahaha 🤪.
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 22,106 40,240 Oct 16, 2024 #34,655 Hii kitu inaitwa Citrus Quinoa with honey walnuts.... Kimchezo mchezo ila nilimaliza na ilikuwa tamuuu....😋😋😋😋.
Hii kitu inaitwa Citrus Quinoa with honey walnuts.... Kimchezo mchezo ila nilimaliza na ilikuwa tamuuu....😋😋😋😋.
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 22,106 40,240 Oct 16, 2024 #34,656 Hii supu haikuwa tamu hata....!!!😒😒😒 Niliendelea kuinywa na kuimaliza sababu ni healthy soup... nafaka zimechanganywa na nyanya na mbogamboga na kuchemshwa.
Hii supu haikuwa tamu hata....!!!😒😒😒 Niliendelea kuinywa na kuimaliza sababu ni healthy soup... nafaka zimechanganywa na nyanya na mbogamboga na kuchemshwa.
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 22,106 40,240 Oct 16, 2024 #34,657 Huu mlo ulikiwa pambee sema ulikuwa na chumvi nyingii... Ila nilishiba 😋. Mlo ulisindikizwa na supu ya tambi na kuku na mbogamboga...😋.
Huu mlo ulikiwa pambee sema ulikuwa na chumvi nyingii... Ila nilishiba 😋. Mlo ulisindikizwa na supu ya tambi na kuku na mbogamboga...😋.
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 22,106 40,240 Oct 16, 2024 #34,658 Hambuger 🍔 and fries 🍟😋😋😋 Was yummy 😉😊.