MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,866
- 28,846
- Thread starter
- #21
Kuanzia Kona Ilboru hadi mitaa ya Kisiwani ilikuwa balaa... ubabe mwingi. Hiyo mitaa ilikuwa na wanariadha wengiNimekulia mtaa wa iliboru,mita 200 tangila maji,machalii wajanja enzi zile walipatikana iliboru,kuanzia iliboru ya juu,mianzi,sanawari kuvuka Road kaloleni na soweto nimekulia Town sana,enzi zile ishu zetu ilikuwa kukusanya chuma,kucheza gololi,kamari,pooltable,kuvua samaki mto naura,nawakumbuka machalii zangu,manuu,Victor,ombeni,kilwa,kibute,yassin,ally magamba,Johnson,rama,na machalii wengine kibao nimewasahau wakina molleli niliyesoma nae sanawari,enzi zile tulikuwa watukutu kinyama kwasababu makaka zetu walikuwa wachimba mawe mererani,walikuwa wakija na mapikipiki yao makubwa tulifaidi sana,walitununulia viatu,nyama choma na kutulipia tokeni za pooltable,kipindi kile ilboru ilisifika kwa uwizi nakumbuka wazungu walinganganywa mabako zao kibabe,sasa hivi pamebadilika sana,nawakumbuka mabrother kama bao,wengine kibao nimewasahau,wengine waliuliwa kwa wizi,kipindi kile nako 2 nako walikuwa wanawafuatilia madada zetu kitaa,kipindi kile viatu vya timberland vimeingia,Tim's,airjordan,new force,new balance,cat,kuna majens makubwa yalikuwa yana mfuko nyuma mikubwa walikuwa wakivaa basi mademu wana changanyikiwa,enzi zile soweto nikama new york ,ukikutwa umevaa skafu unanganganywa kama wewe sio junior nako,kwa hiyo walikuwa wanatuogopa machalii wa ilboru kwakuwa tulikuwa hatumuanyi yeyote,nawakumbuka junior nako kadhaa wakina dickson,dauson,mabrother wakina gnako,lodeyez,bu nako,da hustler,kid can kill