Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Hii sirikali ya mama kwa kupika takwimu haijambo, yale yalee tu ya mwendazake!
Misifa kibao huku unafuu wa maisha mtaani hakuna!.
Ikipika wewe chemsha Ili kuweka mambo sawa mkuu Haina haja ya povu la chuki.
Screenshot_20250204-191859.jpg
 
Imeongeza ajira kiasi gani?
Imepunguza ukosefu wa ajira kiasi gani?
Imeongeza GDP per capita kiasi gani?
Imepunguza deni la nchi kwa kiasi gani?
Imepunguza kiwango cha umaskini kwa kiasi gani?
Imepunguza mfumuko wa bei kwa kiasi gani?
Wewe taahira kabisa, kaa ufe masikini na chuki zako. Utakufa life kibaya Sana wewe na familia yako. Nakutakia uendelee kuteseka na bahasha lako na vyeti vyako. Sisi sote tumesoma kama wewe, watu wanajiajiri kwenye kilimo, wewe fia chadema yako na CCM yako alafu uone. Watu kama nyinyi ni bora mfe, munachangia u masikini wa nchi yetu
 
Nyie mnaodai Takwimu zimepikwa, leta zenu za ukweli. Ni ukweli kuwa uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali kwenye kilimo umeanza kulipia. Mavuno mavuno mazur na bei mzuri zimevutia raia wengi kuingia kwenye kilimo, kwahiyo sishangai kuwa namba 2 na tena muda sio mrefu t utakuwa namba 1 maana kundi kubwa la vijana hata ukiwaona wapo humu jamiiforums ila wanapost wakiwa shambani, maana ktk eneo nalo mama ameligusa Sana ni hili pia la mawasiliano. H+ inapatikana karibia kila Kona ya nchi hii.
Hapa kwetu Asilimia ya vijana wengi wameenda shambani kulima, kupo kimya, wameenda kulima ufuta.
Wanataka kumalizia majumba Yao kuezeka msauzi. Wewe subiri data za ukweli ili uandaman
 
Niulize tu: Hivi Jamiiforum inatembelewa na watu wa mataifa jirani wanaotuzunguka?- Kenya, Uganda, Sudan, Rwanda, Burundi Congo, Zambia, Malawi etc. Hivi wanatuonaje waTanzania? uchawa, Tanzania ni tajiri, mgao wa umeme itakuwa historia, Tanzania ya pili kwa mahindi africa, jeshi letu la 6 kwa ubora duniani, mama, mama, mama etc. Na umasikini uko palepale. Aibu!
 
Wewe ni punguani,uchawa ndio nini?
 
Ukitaka kujua everything is bullshit, ingia kwenye exchange yao wanayosema is a game changer, data za mwisho kuwa posted ni almost 4 years ago, acheni propaganda fanyeni kazi
 
Hii sirikali ya mama kwa kupika takwimu haijambo, yale yalee tu ya mwendazake!
Misifa kibao huku unafuu wa maisha mtaani hakuna!.
Muda mwingine tukubaliane na ukweli ukiwa mjini huwez jua kinachoendelea huko mikoani.
Mfano tu hata kuangalia kwa upande wa ufuta kwa mikoa ya kusini yule mtu aliyelima mwaka 2023/2024 acre 3 mwaka 2024/2025 kaongeza mara mbili hasa kutokana na uwepo wa bei nzuri sasa kwa mtu wa mjini huwez liona
 
Hao punguani sio kwamba hawajui ila hawataki kusikia Samia amefaniliwa ndicho kinawatesa so hapa unakisumbua kuelimisha ,Mimi Niko nao humu jf nawafahamu vizuri Huwa naenda nao Kwa Lugha Ile watakayoelewa Kwa lazima.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom