Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Karibu Kila Mkoa na zingine zimekamilika 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGn665ptYKw/?igsh=dnE4dmdsZDRuYTQ=

View: https://www.instagram.com/reel/DGoHqE1O6vp/?igsh=MXZqd3BtYmRheGlneQ==

Juzi tuu hapo alikuwa kuzindua ujenzi wa bwawa kubwa la mkomazi Kwa Ajili ya irrigation 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGe5zhGNt6n/?igsh=MXJwM2hieWhnMHN2ZA==

View: https://www.instagram.com/p/DGgdSxeOjZK/?igsh=ZWk4aG9jNWpvNGZj

Mwisho,Kwa taarifa Yako tuu hakuna Rais aloyewahi weka pesa nyingi kwenye Kilimo kama Samia.

Nyie endeleeni na ujinga wenu kwenye vijiwe.

Huo mradi wa mkomazi ndio kwanza ameweka jiwe la msingi, utakamilika lini? Samia anamiaka takribani 3 madarakani kajengalini hiyo miradi 115? Hizi zote kampeni za kisiasa tu hamna kitu hapo. Ni kama tulivyoambiwa tuko uchumi wa kati.
 
Wakati unauliza hayo maswali ya kijinga ungeuliza pia kwamba alivyoingia tuu Bajeti ya Kilimo ilikuaje?

Pesa ndio inajenga sio miaka.

Kuna miradi ya kuchimba mabwawa ya Umwagiliaji 100 Nchi nzima.

Rekodi kama hizi ungezijua usingeuliza maswali ya kijinga 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DHHMGX1oewu/?igsh=MTYwMTNoeW05bTNkcw==
 
Back
Top Bottom