Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
65,091
74,656
Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.Maono ya Rais Samia Kufanya 🇹🇿 Ghala La Chakula Afrika Kutimia.

View: https://youtu.be/0A4FNDoizJI?feature=shared

1. Imetoa ruzuku ya mbolea na pembejeo Kwa miaka 3

2. Imeonheza Bajeti ya Kilimo mara dufu

3. Imejenga na inajenga zaidi ya hactares 500k za irrigation

4. Imeajiri maelfu ya Wataalamu wa Kilimo kuanzia Maafisa Ugani Hadi wahandisi.

5. Imeongeza Bajeti ya Utafiti Kwa Wataalamu.

6. Imenunua Vitendea kazi wa Wataalamu wa Kilimo kuanzia magari,pikipiki,vipima udongo,vishwambi nk

7. Imefufua na kuimarisha Tume ya Umwagiliaji

8. Imetafutia masoko ya bidhaa mbalimbali za Kilimo wakulima

9. Inanunua mazao ya wakulima,eg NFRA &CPB ndio soko kuu la mahindi ya Wakulima

10. Imejenga na inaendelea na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao Ili walau iwe na uwezo wa kutunza tani mil.3 za nafaka.

11. Imeanzisha mradi wa BBT Kilimo,mifugo,Uvuvi,Madini nk.

12. Inatoa mbolea mbegu za mazao Bure eg Korosho,ngano ,Chikichi nk

13. Ameanzisha mfumo wa Mauzo ya mazao kimtandao Tanzania Merchandile Exchange "TMX" hakuna makanjanja tena au madalali.

14. Ameanzisha mnad wa Chai ndani ya Nchi,hakuna Kupeleka Mombasa

15. Tanzania Kwa Sasa ni namba 2 wa Kuzalisha tumbaku na Korosho Afrika

16. Ameimarisha bei za mazao yote

17. Ameongeza mtaji wa Benki ya Kilimo ,Sasa pesa zipo na wakulima wanakopa.kwa riba nafuu.

18. Amepunguza riba za mikopo kwenye Kilimo kutoka 18% Hadi 9%

19. Ameanzisha programu ya Kusambaza matrekta 10,000 Kwa wakulima "Mechanisation drive"

20. Amerejwsha maonesho ya Kilimo Nanenane Kwa kuyafanya ya Kimataifa na Kujenga Viwanja vya Maonesho vya Kimataifa Dodoma na Mbeya.

Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea

View: https://youtu.be/tqvtrPSCl0U?feature=shared

My Take
Nawakumbusha tuu Rais Samia ni Game Changer wa Uchumi wa 🇹🇿 na ataendelea kuweka na kuvunja rekodi zake mwenyewe.

Haters mnaitwa kutoa povu ila ndio hivyo Samia ameshindikana.


View: https://www.instagram.com/p/DFo2hQloxmP/?igsh=YzhyYnkzeXI0dDF5

Ile Ndoto ya Rais Samia ya Kufanya Tanzania kuwa Ghala la Chakula Cha kulisha Afrika inaenda kutimia. Waweza soma hapa pia Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

View: https://www.instagram.com/reel/DFU1P6riddR/?igsh=MTJmd3k0cTcyMDd0NA==
 
Imeongeza ajira kiasi gani?
Imepunguza ukosefu wa ajira kiasi gani?
Imeongeza GDP per capita kiasi gani?
Imepunguza deni la nchi kwa kiasi gani?
Imepunguza kiwango cha umaskini kwa kiasi gani?
Imepunguza mfumuko wa bei kwa kiasi gani?
 
na bado huuu ni mwanzo tu kweli sasa kinakuwa uti wa mgongo kweli kweli after 7 year revolution ya viwanda itakuwa inaonekana kabisa maana raw material zikiwepo export na viwanda itakuwa safi...katika mapungufu na ubora wa samia kàtika hili tusimnyime pongezi
 
na bado huuu ni mwanzo tu kweli sasa kinakuwa uti wa mgongo kweli kweli after 7 year revolution ya viwanda itakuwa inaonekana kabisa maana raw material zikiwepo export na viwanda itakuwa safi...katika mapungufu na ubora wa samia kàtika hili tusimnyime pongezi
Ile safari ya Tanzania kuwa Ghala la Chakula Kwa Ajili ya kulisha Afrika inaenda kutimia
 
Safari ya 🇹🇿 kuwa Ukraine wa Afrika imeiva ,baada ya kuwabwaga Nigeria Bado Afrika Kusini ambae ndani ya miaka 2 ijayo tutaipita Kwa Raha zetu.Pia soma Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo Wazaa Matunda. Tanzanja Yaipiku Nigeria na Kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.

View: https://www.instagram.com/p/DFo2hQloxmP/?igsh=YzhyYnkzeXI0dDF5

My Take
Vijana Jikiteni kwenye Kilimo ,Miaka hii ya Samia ni ya Kutajirika Kupitia Kilimo.

Nigeria ana bahati mbaya sana na 🇹🇿 Huwa tunajichukulia pointi mabegani mwao Samianomics: Tanzania Yaipita Nigeria na Kuwa Mshirika namba 2 wa Biashara wa India Barani Afrika.Afrika Kusini Waanze kutia maji.

View: https://youtu.be/tqvtrPSCl0U?feature=shared
 
Kwenye kilimo NAMI naungana na serikali vijana tuhakikishe Samia akiondoka ofisini 2030 pia tuwe na aseti za mamilioni zilizotokana na kilimo.
Usipotoboa awamu hii ya Samia basi hesabu maumivu,watakuja wale wapuuzi kutoka ile dini yenu ya Wazungu kuvuruga maisha.
 
Back
Top Bottom