UVCCM mbona mko kimya sakata la vyeti feki vya Paulo Makonda?

Kama ilivyo kawaida yao UVCCM hawapitwi Na jambo bila kulisemea.Nilitegemea UVCCM kuiunga mkono Serikali yao katika vita vya kugushi vyeti" VYETI FEKI" wangejitokeza kulisemea hili la Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh.Paulo Makonda la kutumia cheti cha MTU mwingine.UVCCM wamekuwa kimya kama vile hawapo .Tunawaomba UVCCM wajitokeze hadharani .
Unataka waseme nini wakati wengi wao ni kina Bashite?
 
Apa ndipo ilipo tofauti ya CCM na chadema, tuhuma za Mtubinafsi mwenyewe ndio anatolea maelezo na si chama, lakini Chadema tuhuma za Mtu binafsi kama Mbowe, Chadema ndio wanazijibu.
Kwamaanaiyo mtu binafsi akiwa mchafu anachafuka na chama kizima. Kama inavyoonekana kwa sasa chadema ndio mtetezi wa watuhumiwa wa uhalifu kwakuwa mwenyekiti wao anaingia kweye mautata mengi ambayo mengine amethibitika ameyafanya.
Hoja haina mashiko. Hawajui wasemeje maji yamezidi unga ugali haupikiki.
 
T
Sisi ndio tumepewa Serikali na wananchi mwaka 2015.

Tuko bize na masuala ya maendeleo na sio kutaka kututoa kwenye reli. Nyie endeleeni kubwabwaja mkimaliza 2020 hio tunawadunda tena....
Tena kwa kubebwa na jeshi la polisi hamjambo na kwa kutumia mbinu hiyo hiyo ufalme ni wenu. Furahi basi katika hili!!!!! CCM mna vituko na hamna aibu
 
Kuna utafiti fulani ulifanyika mwaka jana wakasema CCM inapendwa na watu wenye elimu ya chini na Chadema na Ukawa kwa ujumla unapendwa na wasomi wengi kuliko wenye elimu duni. Pia walisema watu hohehahe ndio wapenzi wakubwa wa CCM. Mnakumbuka utafiti hio?
 
Ila twende mbele na kurudi nyuma , kwa kijana mwenye akili timamu kabisaaaa, hauwez ukawa na kadi ya CCM au ukawa na membership ya ccm.

Kwa uelewa wangu mdogo nimegundua vijana wengi wanaokihusudu hicho chama ni wale wanaopenda mambo ya mteremko.
 
Hawa jamaa huwa wanakuja kutolea ufafanuzi Mara baada ya inshu yoyote kuibuka nchini. Makonda ni mwenzao pale UVCCM. Lakini tangu muvi imeanza na ina mwezi sasa lakini wako kimyaa na wanamuachia mwenzao alimalize atakavyoweza. Tafsiri ya hili ni nini? Wamamchukia wanamuacha alibebe? Au zigo ni zito sana kujitwisha? Mko wapi UVCCM?
 
Hata huko wamemchoka

Nadhani wanaweza kuelekezwa watoe kauli za kumbe za makonda ili kumtengenezea mkuu njia ya kumtumbua.
 
Inasikitisha mtu kusema hata akiwa mkeo kakosea ashughulikiwe halafu anatokea bashite mmoja anaachwa...inamaana huyu ni zaid ya mke?
 
Hawa jamaa huwa wanakuja kutolea ufafanuzi Mara baada ya inshu yoyote kuibuka nchini. Makonda ni mwenzao pale UVCCM. Lakini tangu muvi imeanza na ina mwezi sasa lakini wako kimyaa na wanamuachia mwenzao alimalize atakavyoweza. Tafsiri ya hili ni nini? Wamamchukia wanamuacha alibebe? Au zigo ni zito sana kujitwisha? Mko wapi UVCCM?
Era of reasoning
 
Back
Top Bottom