Wengi wanaofeli mashuleni na vyuoni hukimbilia kujiunga na CCM ili wapate kubebwa. Hawawezi kumtetea Daudi Bashite wakati wenyewe wako hivyo.
This shows that vijana wote wa uvccm, Bavicha vyeti vyao vihakikiwe ili Rais asijekuaibishwa wakati wa teuzi in future, from standard one mpaka form six kwanza and in particular darasa la saba, form four then certificate diploma last degree!