Ndugu zangu hii kitu tusichukulie mzahamzaha Kumbuka hao wafanyakazi wana Baba zao, Mama zao, Bibi, Babu, Wajomba, Wake ,watoto na Wajukuu hizi namba zikilishwa simu vizuri usifanye mzaha na Hawa watu wewe cheza na namba tuu utaupata jibu. Kumbuka ile timu ya wanafunzi wa Udsm ya akina Masawili ilivyomsumbua Jk sasa tofautisha kati ya wanafunzi na hawa Wazee wetu waliopata haya majaribu