Utekelezaji wa Ilani ya CCM na ahadi za Rais Magufuli 2015 hadi 2020

Ahadi: Kuhakikisha wanafunzi hawakai chini....
Utekelezaji: Asilimia 90

Ahadi: Kuhakikisha wagonjwa hawalali chini
Utekelezaji: Asilimia 70

Na hapo mtu hajakaa hata mwaka mmoja
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Bila shaka Uchaguzi umemalizika. Naamini pia Rais amemaliza kupanga safu yake ya Uongozi ngazi ya serikali. Naamini pia atakabidhiwa chama Julai 23 ili aweze kukisimamia chama kiweze kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2015-2020.

Uzi huu ni mahsusi kwa ajili ya kuweka utekelezaji wa kile alichoahidi Rais wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Tutaangaza pia na Ilani ya CCM ili ifikapo mwaka 2020, tuweze kumpima Rais wetu kwa mizania iliyo sawa.

1. AHADI; - Elimu Bure hadi Kidato cha Nne
UTEKELEZAJI; - Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwake, Rais alifuta ada na michango yote ya shule za
Msingi na Sekondari na kwa sasa watoto wetu wanasoma Bure.

2. AHADI; - Ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Standard Gauge
UTEKELEZAJI; - Shilingi Trilioni Moja imetengwa kwa mwaka wa fedha 2016/17 kama kianzio

3. AHADI; - Uanzishwaji wa Mahakama ya Majizi na Mafisadi
UTEKELEZAJI. - Jumla ya Shilingi Bilioni 2.5 zimetengwa kwa ajili ya Mahakama hiyo. Majengo
yamepatikana, wafanyakazi wa Mahakama hiyo wamepatikana

4. AHADI; - Milioni 50 kwa Kila Kijiji
UTEKELEZAJI; - Fedha hizo zimetengwa kwenye Bajeti ya 2016/17. Vijana wanahamasishwa kuunda
Vikundi ili wapatiwe mafunzo ya Ujasiriamali ili wanufaike na fedha hizo

5. AHADI; - Kuondoa kodi za Hovyo zinazowakandamiza wanyonge
UTEKELEZAJI; - Kwenye Bajeti ya 2016/17, kodi za hovyo zimefyekwa hasa kwenye mazao ya Biashara

6. AHADI; - Umeme wa kutosha na wa Bei nafuu
UTEKELEZAJI. - Gharama za Ankara za umeme zimepunguzwa. Pia Service Charge imeondolewa

Wadau. Huu ni mwanzo tu na nitaendelea kuweka updates kwa kila ahadi itakavyotekelezwa. Kwa yale ambayo sijayaainisha humu, nawaomba wadau mnikumbushe nani nita update mara kwa mara.

Serikali ya Viwanda!
Utekelezaji;Hata dira ya kufika huko hakuna!
 
Ahadi: BAVICHA kwenda Dodoma kuzuia mkutano wa CCM
Utekelezaji: Mwenye chama kakwepa aibu kamtuma msaidizi wake Mbowe kuahirisha.
Bavicha watavurugwa sana wakithubutu kufanya ujinga wao hii serikali siyo ya mizaha.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Bila shaka Uchaguzi umemalizika. Naamini pia Rais amemaliza kupanga safu yake ya Uongozi ngazi ya serikali. Naamini pia atakabidhiwa chama Julai 23 ili aweze kukisimamia chama kiweze kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2015-2020.

Uzi huu ni mahsusi kwa ajili ya kuweka utekelezaji wa kile alichoahidi Rais wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Tutaangaza pia na Ilani ya CCM ili ifikapo mwaka 2020, tuweze kumpima Rais wetu kwa mizania iliyo sawa.

1. AHADI; - Elimu Bure hadi Kidato cha Nne
UTEKELEZAJI; - Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwake, Rais alifuta ada na michango yote ya shule za
Msingi na Sekondari na kwa sasa watoto wetu wanasoma Bure.

2. AHADI; - Ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Standard Gauge
UTEKELEZAJI; - Shilingi Trilioni Moja imetengwa kwa mwaka wa fedha 2016/17 kama kianzio

3. AHADI; - Uanzishwaji wa Mahakama ya Majizi na Mafisadi
UTEKELEZAJI. - Jumla ya Shilingi Bilioni 2.5 zimetengwa kwa ajili ya Mahakama hiyo. Majengo
yamepatikana, wafanyakazi wa Mahakama hiyo wamepatikana

4. AHADI; - Milioni 50 kwa Kila Kijiji
UTEKELEZAJI; - Fedha hizo zimetengwa kwenye Bajeti ya 2016/17. Vijana wanahamasishwa kuunda
Vikundi ili wapatiwe mafunzo ya Ujasiriamali ili wanufaike na fedha hizo

5. AHADI; - Kuondoa kodi za Hovyo zinazowakandamiza wanyonge
UTEKELEZAJI; - Kwenye Bajeti ya 2016/17, kodi za hovyo zimefyekwa hasa kwenye mazao ya Biashara

6. AHADI; - Umeme wa kutosha na wa Bei nafuu
UTEKELEZAJI. - Gharama za Ankara za umeme zimepunguzwa. Pia Service Charge imeondolewa

Wadau. Huu ni mwanzo tu na nitaendelea kuweka updates kwa kila ahadi itakavyotekelezwa. Kwa yale ambayo sijayaainisha humu, nawaomba wadau mnikumbushe nani nita update mara kwa mara.
7. AHADI; - Kupandisha bei ya Sukari kutoka 1800/= mpaka 4000/=
- Hakika tumeona chini ya uongozi wa Rais wetu mpendwa kupitia chama pendwa CCM kikipandisha bei ya sukari ili watanzania masikini waishi kama mashetani KAMA ALIVYOHAIDI KTK KAMPENI.

8. AHADI; - KUCHANGISHA WANANCHI MADAWATI
Katika kupumbaza na kuwakamua watanzania masikini na wanyonge, CCM ilihaidi kutoa ahadi ya elimu bure baada upepo wa ukawa kuwazidi nguvu bila kujua utekelezaji wake utakuwaje. CCM tumekurupuka kutoa elimu bure huku fedha za madawati hakuna.
 
ahadi kuweka makada kila sekta ya utumish wa umma IMETEKELEZWA
bila kusahau ahadi ya maamuz ya kukurupuka na ziara za kushtukiza
 
Ahadi;Nitatoa salary slip yangu nikitoka chato
Utekelezaji;0%
Ahadi;Nitagawa sukari tutayoikamata
Utekelezaji;0%
Utawajua wa penda vya BURE.....Daah kwa hiyo mpka sasa unasubiri vya BURE.....fanya kazi kijana....NYIE NDIO MNAOTUSUMBUA NA KUTUFANYA TUSISONGE MBELE
 
Utakuwa umesahau zingine mkuu, JPM kishafanya mengi sana aliyoyaahidi kwenye kampeni.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Bila shaka Uchaguzi umemalizika. Naamini pia Rais amemaliza kupanga safu yake ya Uongozi ngazi ya serikali. Naamini pia atakabidhiwa chama Julai 23 ili aweze kukisimamia chama kiweze kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2015-2020.

Uzi huu ni mahsusi kwa ajili ya kuweka utekelezaji wa kile alichoahidi Rais wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Tutaangaza pia na Ilani ya CCM ili ifikapo mwaka 2020, tuweze kumpima Rais wetu kwa mizania iliyo sawa.

1. AHADI; - Elimu Bure hadi Kidato cha Nne
UTEKELEZAJI; - Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwake, Rais alifuta ada na michango yote ya shule za
Msingi na Sekondari na kwa sasa watoto wetu wanasoma Bure.

2. AHADI; - Ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Standard Gauge
UTEKELEZAJI; - Shilingi Trilioni Moja imetengwa kwa mwaka wa fedha 2016/17 kama kianzio

3. AHADI; - Uanzishwaji wa Mahakama ya Majizi na Mafisadi
UTEKELEZAJI. - Jumla ya Shilingi Bilioni 2.5 zimetengwa kwa ajili ya Mahakama hiyo. Majengo
yamepatikana, wafanyakazi wa Mahakama hiyo wamepatikana

4. AHADI; - Milioni 50 kwa Kila Kijiji
UTEKELEZAJI; - Fedha hizo zimetengwa kwenye Bajeti ya 2016/17. Vijana wanahamasishwa kuunda
Vikundi ili wapatiwe mafunzo ya Ujasiriamali ili wanufaike na fedha hizo

5. AHADI; - Kuondoa kodi za Hovyo zinazowakandamiza wanyonge
UTEKELEZAJI; - Kwenye Bajeti ya 2016/17, kodi za hovyo zimefyekwa hasa kwenye mazao ya Biashara

6. AHADI; - Umeme wa kutosha na wa Bei nafuu
UTEKELEZAJI. - Gharama za Ankara za umeme zimepunguzwa. Pia Service Charge imeondolewa

Wadau. Huu ni mwanzo tu na nitaendelea kuweka updates kwa kila ahadi itakavyotekelezwa. Kwa yale ambayo sijayaainisha humu, nawaomba wadau mnikumbushe nani nita update mara kwa mara.
Signature yako imekuondolea credibility na kukujaji kama ni wale wale wachumia tumbo au stomach thinkers where you can't judge and bring a valid and fair evaluation.
Kazi ni mapema mno na itakuwa siyo yako au ya kwenu tutafanya sisi MAGREAT THINKERS BE PATIENCE AND STOP MWENDO KASI.
Watz. wa sasa wana akili na uelewa mkubwa hatuuziwi TENA mbuzi kwenye gunia.
Get relaxed boy and keep eating your pension slowly on the daily basis with ineed of salary review on increament coz buku 2/7 is de-humanization na haki za binadamu wanatakiwa kuingilia kati hili kwani ni udhalilishaji wa UTU wa mwanadamu huu.
Ulichosema ni kama single sand particle in 17 Tonnes/>evaluation or analysis with the hightest exaggerations someting which is Work done = Zero.No worry no hurry in TZ. get relaxed tutakuja na analysis ZOTE maana tunazo record sahihi.
 
Ahadi;Nitatoa salary slip yangu nikitoka chato
Utekelezaji;0%
Ahadi;Nitagawa sukari tutayoikamata
Utekelezaji;0%
Watu wengine ni vi.laza kwelikweli. Na wewe ni mmoja wao, kutoa salary slip na kugawa sukari zilikuwa ahadi zake wakati wa kampeni?
 
Signature yako imekuondolea credibility na kukujaji kama ni wale wale wachumia tumbo au stomach thinkers where you can't judge and bring a valid and fair evaluation.
Kazi ni mapema mno na itakuwa siyo yako au ya kwenu tutafanya sisi MAGREAT THINKERS BE PATIENCE AND STOP MWENDO KASI.
Watz. wa sasa wana akili na uelewa mkubwa hatuuziwi TENA mbuzi kwenye gunia.
Get relaxed boy and keep eating your pension slowly on the daily basis with ineed of salary review on increament coz buku 2/7 is de-humanization na haki za binadamu wanatakiwa kuingilia kati hili kwani ni udhalilishaji wa UTU wa mwanadamu huu.
Ulichosema ni kama single sand particle in 17 Tonnes/>evaluation or analysis with the hightest exaggerations someting which is Work done = Zero.No worry no hurry in TZ. get relaxed tutakuja na analysis ZOTE maana tunazo record sahihi.
Sijaona unacholilia hapa kabisa. Hayo aliyoyaainisha Lizaboni kama mojawapo ya ahadi za JPM zilizotekelezwa ni ya kweli au uongo? Hiyo ndiyo hoja ya msingi sasa ukianza kutuandikia hapa KISWANGLISH chako ndiyo tuone una hoja au?
 
Utawajua wa penda vya BURE.....Daah kwa hiyo mpka sasa unasubiri vya BURE.....fanya kazi kijana....NYIE NDIO MNAOTUSUMBUA NA KUTUFANYA TUSISONGE MBELE
Halafu alivyo wa ajabu anaongelea mambo tofauti kabisa na mada. Lizaboni ameainisha utekelezaji wa ahadi za rais wakati wa kampeni, yeye anakuja na masuala ya sukari na salary slip, mabo ya juzi tu. Anazidi kuonesha walivyo Vi.laza.
 
Back
Top Bottom