Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

Gol D Roger

JF-Expert Member
Sep 16, 2023
2,283
6,001
Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20%

Screenshot_20230918_001307_Instagram.jpg

Tasfiri yake;

Wanaume walikuwa mashuhuri/wakakamavu wakati ilipokuwa ngumu kuona picha za uchi za wanawake kwenye skrini.

Hii picha nimekutana nayo muda si mrefu, imenifikirisha sana, nimeileta humu kwa sababu ina ujumbe mzuri, natumaini wote tutajifunza kitu kwenye huu ujumbe.

For men.
 
Back
Top Bottom