Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha Mahusiano tena na Wanaume Wastaarabu kama waliokuwa nao?

Huu Utafiti wangu nimeufanya kwa miezi Mitatu na kuwahusisha Watu wa Tanzania, Kenya na Uganda na ni wa Kweli.
Halafu msela akitia Mimba,mtoto anapewa Nice/Good Guy,baadae wanaimbwa "kwenye ndoa zenu mna watoto wao".
 
Ujue sisi tunaoonekana kuwa wasela nondo tunajua kuzitafuna papuchi ile kisela sela haswa..na wanawake ili waridhike wanapenda aina hiyo ya sex..sasa hao watakatifu wenu wa sijui kutiana mpaka mpeane ratiba huwa hamna kitu ni kabao kamoja tu jitu linalala usingizi wa pono.
 
Sasa ukutane ni mtu mzima flan af ana hela af muhuni af anakupenda!

mxxxxxxxxxiiiiiiieee utajiuliza ulikuwa unachelewa nini kutoka jumla
 
Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha Mahusiano tena na Wanaume Wastaarabu kama waliokuwa nao?

Huu Utafiti wangu nimeufanya kwa miezi Mitatu na kuwahusisha Watu wa Tanzania, Kenya na Uganda na ni wa Kweli.
shenzi kabisaa tulinapa jitunmishara mikubwa itafute taaarifa za kusaidia taifa lenyewe linaenda kufanya utafiti wa kupiga nyeto?
 
Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha Mahusiano tena na Wanaume Wastaarabu kama waliokuwa nao?

Huu Utafiti wangu nimeufanya kwa miezi Mitatu na kuwahusisha Watu wa Tanzania, Kenya na Uganda na ni wa Kweli.
90%
 
Back
Top Bottom