Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,023
119,542
Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha Mahusiano tena na Wanaume Wastaarabu kama waliokuwa nao?

Huu Utafiti wangu nimeufanya kwa miezi Mitatu na kuwahusisha Watu wa Tanzania, Kenya na Uganda na ni wa Kweli.
 
Back
Top Bottom