habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,746
Ktk hii dunia kuna mtu mwenye umri Wa miaka mitano anaweza kujihudumia na kufanya starehe? Au sijapata kuelewa
Mtoto wa miaka mitano anahusikaje? utafiti umefanywa na Lugumi enterprises huu!
Mtoto wa miaka mitano anahusikaje? utafiti umefanywa na Lugumi enterprises huu!
umeingea jamba la msingi vyuo tumesoma kwa mkopo kazi hamna mkopo ya mitaji inamashariti na riba kubwa halafu lawama zinarudi kwetuMazao bei chini , experienc 5to 10 years mitaji hamtoi, riba bei juu
Mbona unafki
Kwanini umekimbilia kutaja serikali badala ya kutoa maoni juu ya hizi tafiti? Tukisema kuna watu wamejipanga kupinga tu tunaonekana ni pro JPM ....Tunawasoma tu ...wenye umri wa miaka mitano?
Naona serikali hii inataka kuja kusema umasikini hauondoki sababu watanzania hawataki kufanya kazi
Huo ni uvivu. Wewe mbona hutengenezi hizo ajira ili watu wengine wakaajiriwe? Na hizi ndio tabia zilizotufikisha hapa kwa maana kila mtu anawaza atengenezewe ajira na sio yeye kutengenezea wengine.Watoe basi na tafiti zinazoelezea idadi ya ajira rasmi zilizotengenezwa mbona kila mwezi wanatuambia wamekusanya kiasi gani kwanini awatoi na takwimu za ajira; uwezi kuwaita watu wavivu wakati hizo ajira hakuna in the first place.
Hivi wanataka watu wadumae akili au wapate uchizi mtu hana chakufanya siku nzima kadunduliza sasa tena ata kujiliwaza akili pia inataka kuwa dhambi. Tengeneza ajira kwanza wapeleke watu wakikataa waite wavivu lakini wewe auna option zozote halafu unalaumu watu.
Au wanataka watu wakafagie mitaro bure ndio waone wanajishughulisha.
Mimi nina dhamana gani na macroeconmics policies za Tanzania hayo maswali kamuulize; Waziri Mpango mwenye jukumu la kumanage uchumi wetu, Waziri wa viwanda aliyenadhamana ya kuja na mikakati ya kukuza viwanda sambamba na ajira, Waziri wa kilimo na Prof Ndullu, hao ndio wahusika wenye uwezo wa kutengeneza ajira directly and indirectly kupitia mitaji ya serikari, kuja na mbinu za kufanya watu waje kuwekeza Tanzania, kuwapa watu ajira and so forth with economic policies zenye kutengeneza ajira.Huo ni uvivu. Wewe mbona hutengenezi hizo ajira ili watu wengine wakaajiriwe? Na hizi ndio tabia zilizotufikisha hapa kwa maana kila mtu anawaza atengenezewe ajira na sio yeye kutengenezea wengine.
Wewe jukumu lako ni lipi katika uchumi wa nchi yako Tz, kabla hujataka hao uliowataja wakutengenezee hizo ajira? Je wewe umetengeneza ajira ngapi? Nafikiri haya ndio maswali ya msingi tunayopaswa jiuliza sisi kama individuals just before pointing fingers and shifting the burden to othersMimi nina dhamana gani na macroeconmics policies za Tanzania hayo maswali kamuulize; Waziri Mpango mwenye jukumu la kumanage uchumi wetu, Waziri wa viwanda aliyenadhamana ya kuja na mikakati ya kukuza viwanda sambamba na ajira, Waziri wa kilimo na Prof Ndullu, hao ndio wahusika wenye uwezo wa kutengeneza ajira directly and indirectly kupitia mitaji ya serikari, kuja na mbinu za kufanya watu waje kuwekeza Tanzania, kuwapa watu ajira and so forth with economic policies zenye kutengeneza ajira.
kwa kipindi kirefu sana baada Mwl Nyerere kung'atuka hatukuwa na viongozi bali tulikuwa na watawala wabinafsi wasio na ushawishi wowote kwa wananchi , mtoto anarithi jimbo aliloongoza baba yake au mama yake as if kizazi chao ndio bora , mifano ni mingi , viongozi kama hawa hukatisha tamaa hata wale wachache wenye moyo wa kufanya kazi .Fikra hizi za watanzania za uvivuuvivu zilikuja kwa bahati mbaya? Au zilikuja makusudicaly?
Chanzo ni nini?
Wapi tulikosea?
Je mwarobaini wake ni nini?
Kulaumu na kujilaumu au kunyoosheana vidole hakutatatua tatizo.
Mkuu, tumekatishwa tamaa ya kufanya kazi na kuwa wazalendo kwa 101%.kwa kipindi kirefu sana baada Mwl Nyerere kung'atuka hatukuwa na viongozi bali tulikuwa na watawala wabinafsi wasio na ushawishi wowote kwa wananchi , mtoto anarithi jimbo aliloongoza baba yake au mama yake as if kizazi chao ndio bora , mifano ni mingi , viongozi kama hawa hukatisha tamaa hata wale wachache wenye moyo wa kufanya kazi .
Kazi ni zipi watu walizopewa wakakataa kufanya?Kwanini umekimbilia kutaja serikali badala ya kutoa maoni juu ya hizi tafiti? Tukisema kuna watu wamejipanga kupinga tu tunaonekana ni pro JPM ....Tunawasoma tu ...
What does it take kutengeneza ajira? labour, capital, land and creativityWewe jukumu lako ni lipi katika uchumi wa nchi yako Tz, kabla hujataka hao uliowataja wakutengenezee hizo ajira? Je wewe umetengeneza ajira ngapi? Nafikiri haya ndio maswali ya msingi tunayopaswa jiuliza sisi kama individuals just before pointing fingers and shifting the burden to others