Kunywa bia sio suala la Maana??? Mbona kodi yake inapokelewa.?? au bia inatolewa bure.
Ni kweli kuna baadhi ya watanzania hawapendi kufanya kazi na kupoteza muda kwenye vitu visivyo na maana lakini sio kwa kiwango hicho kilichotolewa.
Nadhani utafiti ulikuwa na sample ya wakazi wa Pwani.
...utafiti umeshindwa kutaja factors zinazochangia hali hii....kwa maana ya ukosaji ajira kwa vijana...Nina hakika kama serikali ingekuwa na mbadala kwa vijana hawa....kwa maana ya namna ya kuwasaidia ku create ajira(kama kuwatengea maeneo maalumu ya kilimo/biashara na kuwapa mitaji)...hali ingekuwa vingine...
...btw....vijana wengine wanaoshinda huko kwenye ma bar wakicheza michezo mbalimbali...wengine hivyo ndio vyanzo vyao vya mapato....kwa maana wanacheza kwa pesa na kupata pesa...na ndio maana wanaweza kujinunulia hata beer....wengine wanafanya betting/gambling kwa mipira na kujipatia pesa huko kuliko kukaa manyumbani wakiangaliana na wake zao....
Kwanini umekimbilia kutaja serikali badala ya kutoa maoni juu ya hizi tafiti? Tukisema kuna watu wamejipanga kupinga tu tunaonekana ni pro JPM ....Tunawasoma tu ...
Nchi za ulaya kuna watu wanalipwa na serikali..welfare...kama hawana kazi
huku kwetu kila kitu mtu anajitegemea
utawaita vipi hao watu wavivu? wanaishi nyumba zao wenyewe..kula kuvaa juu yao
uvivu unaingiaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.