Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

anti-Glazer

JF-Expert Member
Apr 13, 2023
291
478
Wakuu this is the second time yananikuta.

Nilifanya transaction kweny 🏧 pesa niipokee Kwa wakala ikakwama ilikuwa miez kadhaa myuma.

Wakati mwingine nikajitoa ufaham nikaweka fedha ndefu kutoka mwenye ATM kwenda Kwa halopesa kuepuka kutembea na banch of money.

Yakanikuta tena jaman huu umekiwa upuuz mkunwa na Hadi naandika spendi yakukute. Halopesa from bank wanashida kubwa utakifa njaa
 
Usithubitu Kwa nmb mobile
Nmb walishakula 60,000 yangu wangese hao

Nikipiga simu wa mtandao wa simu wananiambia hela ilishaenda,nikiwapigia wa bank wanasema pesa haijawafikia wanasema ipo hewani

Mara niandike barua,mwsho wa siku nikaamua kuipotezea,ikabid niwe naipeleka hela kwa mkono
 
Wakuu this is the second time yananikuta.

Nilifanya transaction kweny 🏧 pesa niipokee Kwa wakala ikakwama ilikuwa miez kadhaa myuma.

Wakati mwingine nikajitoa ufaham nikaweka fedha ndefu kutoka mwenye ATM kwenda Kwa halopesa kuepuka kutembea na banch of money. Yakanikuta tena jaman huu umekiwa upuuz mkunwa na Hadi naandika spendi yakukute. Halopesa from bank wanashida kubwa utakifa njaa
Umewasahau TTCL
 
Kuna kipindi nilifanya muamala mrefu kwa njia hyo hela ilkwama alafu inahitajika kwa uharaka niliumia ikabidi nitumbukie kausha bila kupenda ifike muda haya makampuni kama huduma Fulani hawaiwezi waikaushie wanatia hasara kuna muda
Inakera sana
 
Back
Top Bottom