kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,244
- 2,200
Nashauri kuwe na TANESCO kwa kila kata hata kukiwa na fundi mmoja tuu akasaidiana na hawa mafundi wasaidizi waliopo ili kutatua changamoto za umeme ambazo zinatokea kwa sababu kuna wakati inaanguka nguzo tu ya umeme lakini inaweza kuchukua hadi wiki 2 bado hawaja badilisha wakati huduma yao kwa sasa inatumiwa kila kijiji , nadhani wafanye kama walivyo fanya polisi